𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗭𝗜. 𝗠𝗔𝗛𝗠𝗢𝗨𝗗 𝗧𝗛𝗔𝗕𝗜𝗧 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗠𝗘𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗙𝗔𝗟𝗠𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗥𝗟𝗘𝗦 𝗜𝗜𝗜 𝗪𝗔 𝗨𝗜𝗡𝗚𝗘𝗥𝗘𝗭𝗔
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na Mfalme Charles III wa Uingereza pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CHOGM)...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Maji Jumaa Hamidu Aweso mapema leo jijini Luanda, Angola wakijiandaa na kujipanga kushiriki Mkutano wa 4 la Biennale ya Luanda—Jukwaa la Afrika kuhusu Utamaduni wa Amani...
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) aliyoifanya jijini Bujumbura, nchini Burundi kushiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (The 7th Joint Permanent Commission for Cooperation – JPC), unaolenga...
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗚𝗢𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗪𝗔 𝗤𝗔𝗧𝗔𝗥 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗡𝗔𝗙𝗔𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗥𝗨𝗚𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗪𝗔 𝗪𝗛𝗢
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)amekutana na Mshauri wa Waziri Mkuu wa Qatar anayesimamia Masuala ya Afya ya Umma na ambaye ni mgombea wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho endelevu kwa changamoto za usalama katika eneo la Maziwa Makuu, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya...
Wakati wa kuingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, akiwa pamoja na First Lady wa Marekani, Melania Trump, na ujumbe wa Marekani, alisimama kumsalimia Mheshimiwa Dkt. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri...
Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alimwakilisha Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi kwenye mazungumzo na Dkt. Abudlhamid Alkhalifa, Rais wa Mfuko wa Maendeleo wa OPEC...
WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA VATICAN NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameishukuru Vatican kwa mchango wake katika kuimarisha uhusiano wa muda mrefu na wa kirafiki na Tanzania.
Akizungumza wakati wa kumuaga Balozi wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM),Amy Pope ambae ameongozana Mkurugenzi wa Kikanda wa Pembe ya Afrika Mashariki...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa Wizara kupitia Balozi zake duniani imekuwa kiungo muhimu cha kufanikisha na kuchochea mafanikio ya Serikali katika sekta zote nchini, iwe kilimo, uchukuzi, biashara au nishati.
Waziri Kombo...
Waziri Kombo amuaga Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kuagana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, kufuatia kukamilika kwa muda wake wa uwakilishi nchini.
Katika...
BALOZI MTEULE WA UJERUMANI AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KWA WAZIRI KOMBO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS), Mhe. Moussa Saleh Batraki, katika mazungumzo yaliyolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na OACPS...
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah EL-Sisi, amewasili jijini Dar es Salaam Julai 18,2026, kuanza ziara ya Kitaifa ya siku moja kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ziara hii itahusisha mazungumzo kati ya...
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA RAIS WA DRC
Waziri Kombo Akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais wa DRC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA SWEDEN HAPA NCHINI.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), tarehe 17 Julai, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye anamaliza muda wake...
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha...
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI KONGAMANO LA KISWAHILI NA MAADHIMISHO YA PILI YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI PARIS
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameshiriki Kongamano la Kiswahili pamoja na Maadhimisho ya Pili ya Kimataifa ya Siku ya...
Kuna mambo muelezwi wanao yaona huko.
Huyu waziri kombo anaweza kukupa kile kitabu au kinyago kama zawadi mara kuomba picha na wewe.
Mwisho wa siku habari tanzania kwenye vyombo vyetu vya hisabati tuna ambiwa kombo kapatana na mabeberu.
Hii tabia ya huyu mtu hata CV yake nikiisoma naona tuna...
WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI.
Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.