Waziri Kombo akutana na Mfalme Charles III wa Uingereza

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π—•π—”π—Ÿπ—’π—­π—œ. 𝗠𝗔𝗛𝗠𝗒𝗨𝗗 π—§π—›π—”π—•π—œπ—§ π—žπ—’π— π—•π—’ π—”π— π—˜π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π— π—™π—”π—Ÿπ— π—˜ 𝗖𝗛𝗔π—₯π—Ÿπ—˜π—¦ π—œπ—œπ—œ π—ͺ𝗔 π—¨π—œπ—‘π—šπ—˜π—₯π—˜π—­π—”

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na Mfalme Charles III wa Uingereza pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaofanyika katika kisiwa cha Antigua nchini Antigua and Barbuda, Novemba 02, 2026.

Tanzania imetengwa na nchi za Ulaya Sir Thabit Kombo
 
Attachments

  • 6430389-d12adf35947264b1f3236c4606b60929.mp4
    6.1 MB
  • 6430104-0863ef035ae486528faa91d42e39f57d.mp4
    9.5 MB
Back
Top Bottom