Waziri Kombo ateta na Bi. Hooker wa Wizara ya Mambo ya Nje Marekani

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI.

Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Bi. Allison Hooker.

Katika kurasa za mitandao yao ya X (zamani Twitter) Jumatano Juni 17, 2026, viongozi hao wamechapisha ujumbe kuonyesha wamekutana na kuzungumza kuhusu maendeleo ya ushirikiano wa pande mbili.

Kwa mujibu wa machapisho yao, miongoni mwa mambo waliyozungumza ni masuala ya ushirikiano wa biashara, uwekezaji, uhuru wa kuabudu na uhuru wa kujieleza, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendeleza maslahi ya pamoja.

Allison kupitia chapisho lake la X, ameeleza dhamira ya Marekani kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kukamilisha makubaliano na miradi mbalimbali ya kibiashara yenye manufaa kwa wananchi wa mataifa yote mawili.

Waziri Kombo katika uwanja wa maoni wa mtandao huo, alilijibu chapisho la Allison kwa kuandika, mazungumzo hayo yamekuwa yenye tija na yameonesha utayari wa pande zote kuendeleza ushirikiano wa kimkakati utakaofungua fursa zaidi za maendeleo na uchumi.

WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI.Tanzania na Marekani zimeony.jpg
IMG-20260618-WA0010.jpg
 
WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI.

Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Bi. Allison Hooker.

Katika kurasa za mitandao yao ya X (zamani Twitter) Jumatano Juni 17, 2026, viongozi hao wamechapisha ujumbe kuonyesha wamekutana na kuzungumza kuhusu maendeleo ya ushirikiano wa pande mbili.

Kwa mujibu wa machapisho yao, miongoni mwa mambo waliyozungumza ni masuala ya ushirikiano wa biashara, uwekezaji, uhuru wa kuabudu na uhuru wa kujieleza, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendeleza maslahi ya pamoja.

Allison kupitia chapisho lake la X, ameeleza dhamira ya Marekani kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kukamilisha makubaliano na miradi mbalimbali ya kibiashara yenye manufaa kwa wananchi wa mataifa yote mawili.

Waziri Kombo katika uwanja wa maoni wa mtandao huo, alilijibu chapisho la Allison kwa kuandika, mazungumzo hayo yamekuwa yenye tija na yameonesha utayari wa pande zote kuendeleza ushirikiano wa kimkakati utakaofungua fursa zaidi za maendeleo na uchumi.

View attachment 3610217View attachment 3610218
Huyo Allison naona kagonga misumari ule ule hayo mambo ya religions yanataka wapi wakuu!
 
Mh Thabit Jimbo balozi mwenzako amefafanua clearly terms za discussion, ingekuwa vema na wewe ukareflect hivyo hivyo.
Tukutakie kazi njema kulitumikia Taifa
 
WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI.

Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Bi. Allison Hooker.

Katika kurasa za mitandao yao ya X (zamani Twitter) Jumatano Juni 17, 2026, viongozi hao wamechapisha ujumbe kuonyesha wamekutana na kuzungumza kuhusu maendeleo ya ushirikiano wa pande mbili.

Kwa mujibu wa machapisho yao, miongoni mwa mambo waliyozungumza ni masuala ya ushirikiano wa biashara, uwekezaji, uhuru wa kuabudu na uhuru wa kujieleza, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendeleza maslahi ya pamoja.

Allison kupitia chapisho lake la X, ameeleza dhamira ya Marekani kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kukamilisha makubaliano na miradi mbalimbali ya kibiashara yenye manufaa kwa wananchi wa mataifa yote mawili.

Waziri Kombo katika uwanja wa maoni wa mtandao huo, alilijibu chapisho la Allison kwa kuandika, mazungumzo hayo yamekuwa yenye tija na yameonesha utayari wa pande zote kuendeleza ushirikiano wa kimkakati utakaofungua fursa zaidi za maendeleo na uchumi.

View attachment 3610217View attachment 3610218
amekutana na mabeberu, nguruwe wa lumumba tukiwambia hamna akili muwe mnaelewa mala mashoga mala mabeberu pumbavu kabisa.
 
Quoting Posting on X :
U.S. Department of State (.gov)
https://www.state.gov

Public Schedule - June 16, 2026

2 days ago — 3:00 p.m. Under Secretary Hooker meets with Tanzanian Foreign Minister Mahmoud Thabit Kombo at the Department of State.

Allison M. Hooker on X @UnderSecStateP
Met with Tanzanian Foreign Minister Kombo today to discuss progress on the U.S.-Tanzania bilateral relationship, including concrete steps to preserve religious freedom and freedom of expression, and finalize commercial deals that deliver real benefits for both our countries.
10:25 PM · Jun 16, 2026
 
Back
Top Bottom