makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. mdukuzi

    Makonda alivyowadhalilisha wazazi wake Arusha, adai baba yake hakusoma kabisa, mama yake ni darasa la saba

    Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno Elimu huongeza busara Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu? Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B Lengo lilikuwa nini kama sio kuwadhalilisha?kwa dunia ya leo kujisifu kuwa mzazi wako hajui kusom wala kuandika...
  2. S

    Wanasiasa karibia wote ni wachawi. Makonda asibagazwe kwa kauli yake kuwa mama anarogwa sana.

    1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma. 2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio...
  3. L

    Namshauri Paul Makonda asiwe anapenda kulia na kutoa machozi hadharani. Ajifunze kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni . Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
  4. BLACK MOVEMENT

    Niliwahi sema humu na narudia tena, Makonda ni aina ya watu ambao sio wa kuwaachia MIC, kuna siku ya siku

    Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay. Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui aongee nini anatatizimo sawa na yule Makamo wa Raisi wa akenya alio ondolewa Madarakani Gachagua, na...
  5. enzo1988

    Pitia hiki kitabu kisha ufanye uchambuzi kuhusu Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao!

    Huyu mwandishi alikuwa ndani ya Vatican,kwa siri alizoziona ndani, akatoa kitabu kilichouza sana na kupata umaarufu mkubwa! Alitoa nukuu zifuatazo kama tahadhari kuhusu watu aina ya Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao: "The most dangerous of men are those who appear very...
  6. ngara23

    RC Makonda anahitaji tiba ya Kisakolojia

    Najua ni mtendaji mzuri haswa, naamini Bado tunahitaji huduma yake, Toka ateuliwa kuanzia kuwa mwenezi hadi mkuu wa mkoa wa Arusha nimekuwa nikimfatilia. Inaonekana RC Makonda ana kidonda na machozi moyoni yaani ana maumivu na visasi, anaamini Kuna maadui wanamtafuta Utendaji wake Arusha sio...
  7. L

    Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Makonda: Tangu nimepata uenezi sijawahi kuchukua hata sh 100 kwenye mshahara wangu, huwa natoa yote sadaka!

    Wakuu, Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni! Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
  9. Chakaza

    Msaada wa Haraka; RC Makonda Asaidiwe Kisaikolojia ana tatizo Linamtesa na Anajidanganya kwa Drama

    Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike. Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na...
  10. Nehemia Kilave

    Huyu Makonda sio mtu wa kawaida

    Pamoja Tuhuma nyingi alizonazo nimemfuatilia historia ya mikutano yake alipokuwa RC dar ,Mwenezi na hiki alichofanya leo , huyu sio mtu wa kawaida . Hata ukisema watumishi wanalazimishwa kwenda ,wanaita na wanafunzi au wanakodi watu toka sehemu nyingine haiwezi elezea . Kwa kifupi huyu ana...
  11. Waufukweni

    Nabii GeorDavie: Makonda utakula mema ya nchi mpaka utanikumbuka

    Wakuu Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie, ametoa neno kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha na kwakipekee kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda akimuahidi kula mema ya nchi.
  12. Waufukweni

    RC Makonda na Viongozi wa Dini Kwenye Matembezi ya Amani Arusha

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha, wananchi wamejitokeza kwa wingi. Soma, Pia: Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini...
  13. Mindyou

    Paul Makonda: Rais Samia anarogwa sana na watumishi wake

    Wakuu, Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha. Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika. "Mimi ninawaambia katika nchi hii ya...
  14. Waufukweni

    Makonda: Nataka tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe mabadiliko

    Wakuu Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka mabadiliko" Huu ndio Muongozo wa Rc Makonda kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha.
  15. Waufukweni

    Makonda: Sitaki kumuona Diwani masikini, Tafuteni Hela acheni majungu

    Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha. "Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu...
  16. jingalao

    Tumuunge mkono Paul Makonda katika kubadilisha Arusha 9 Desemba

    Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya wanadamu. Ukiweka pembeni unafiki basi hutaacha kuona namna gani mteule wa Mhe.Rais ndugu Makonda...
  17. Mindyou

    Paul Makonda: Tutakachofanya Tarehe 9 Disemba jijini Arusha hata wakisema ni uchawi poa tu

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametangaza kuwa Disemba 09, 2024 wakati Tanzania itakapokuwa inaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru, Mkoani Arusha kutafanyika Kongamano kubwa la maombi la kuombea Mkoa wa Arusha dhidi ya changamoto mbalimbali zinazoikumba mkoa huo Makonda ametoa kauli hiyo...
  18. Bob Manson

    Makonda wa mabasi ya mikoani, kwanini mnahatarisha maisha yenu kwa kusimama karibu na kioo cha gari?

    Imekuwa kawaida kwa Makonda wa mabasi ya safari za mbali kukaa au kusimama pembezoni mwa kioo cha mbele, wana nin'giniza sura zao bila kuzingatia usalama wao. Dereva pamoja na abiria ni lazima wafunge mikanda, je Makonda nao wanachukua tahadhari gani katika kuzingatia usalama wao wakati wa...
  19. Kahtan Ahmed

    Makonda akabidhiwe Wizara ya NISHATI

    Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua kitendawili. Kwa maoni yangu uwezo wa Makonda unahitajika katika wizara ya NISHATI sababu naamini uwezo wake...
  20. Mindyou

    Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

    Wakuu, Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu. Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa...
Back
Top Bottom