MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Hiyo sio habari Tena kwa wanaCCM mkoa wa Mwanza.
Washangazwa na mtu kutoka alipotoka na Kuja kukagua miradi kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Waomba kamati ya maadili imkalishe kikao mara moja la sivyo CCM kumeguka vipande.
Nzilanyingi na Kafiti wagoma kupokea simu ya Makonda