Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

Screenshot_20260727-075811.png
huyo mzungu SIJUI anaweza. NIN kumwangalia mkuu mguun.

Anyway... Wacha tuone movie hii inaishaje naona scripts NI nying
 
Nimemuona Papaaa CPA. AMOS MAKALA (RC-ARUSHA) Amenuna muda wote wakati wa ziara ya VP Mkoani ARUSHA.

Inaonekana ndani ni pamotonsana, Kuna mengi yanatupita na hatuyajui yanayoendelea.

Ndani Ntititiii, Nje Ntititiii

CHADEMA kama nawaona vile wakija kuchukua nchi, maana watanganyika wengi Sasa hivi hawana Imani tena na CCM, natumaini ya CCM kwa watanganyika ni kama yameanza kupotea maana kizazi cha Nyerere kimeshaanza kupotea

Na Hali iliyopo Sasa hivi ni Kwamba watanganyika hawapo tayari kutawaliwa na WA kutoka Visiwani kwenye nafasi ya Namba 1
Lilisikika nyumbu Moja likijambajamba puu puu pruuuu kupitia mdomo

Of course, chadema inaweza kuchukua nchi 2090
 
Back
Top Bottom