Ahadi za mwana TANU
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma
4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa
5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu
6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote
7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yangu
8. Nitasema kweli daima, fitina kwangu ni mwiko
9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa TANU na raia mwema wa Tanganyika na Afrika
10. Nitakuwa mtiifu na mwaminifu kwa Rais wa Serikali ya Tanganyika
Namba 5 kukiukwa kwake ndiko kunàletà kukosekana kwa Katiba mpya na Lisu ja Chadema in general kubambikiwa kesi za uongo. Wanatumia vyeo vyao kujinufaishà na kukaa madarakani. Wakikubali Katiba mpya, vyeo vitaota mbawa na kuwakoseshà kujinufàisha binafsi. Kukiukwa kwa namba 5 ndiko kumeleta UCHAWA..