Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Nimetafakari sana leo hii asubuhi na kulingamua hili,its totally lost of times on trusting what is not possible!...
Ni kuwa mwanaharakati,na kuwa busy kwa kushindana na kesi mbali mbali mahakamani alimradi tu,days count old came with no achievements.
Record mbalimbali zinatuonyeaha kwa waenga na waanzilishi wa baadhi ya vyama vilivyokuwa very seriously kuliko hivi vya sasa,weak na vyenye viongozi waoga kupitiliza!....
KIJANA LINDA MUDA WAKO!,
AIDHA LABDA UPATE NAFASI NDANI YA CHAMA YA KUKUWEZESHA ULE UNYWE NA UJENGE,HAPO UKIIPATA NAFASI HIYO SHIKAMANA,
NATURALY VIONGOZI WA VYAMA HIVI WANATAMBUA KUSHIKA UONGOZI HAIWEZEKANI LAKINI DAILY BREAD 🍞 UTAPATIKANA,
(FACTS MUST TOLD)