Kisaikolojia Taatlaah mwanaCCM anaihusudu CHADEMA kuliko CCM

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Ndg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt.

Hii yote ni kwasababu anaipenda na kuihusudu chadema mnoo kiasi Cha kushindwa kuficha mahaba yake.

Kimsingi huyu bwana mdogo Tlaatlaah ameanza kuwa rafiki yangu badala ya adui nadhani anafanya kazi ya ccm KWAAJILI ya kujikimu maisha ila moyo uko chadema.

Bwana gentleman karibu sana chama la haki. Lenye kupendwa na watanzania na huu upendo wa gentleman ni wa kumkubali HECHE NA LISSU NA SIO MAMY HIPO.
 
ok.🐒
 
Njaa mbaya sana
 
Usikute huyo Tlaatlaah ni waziri alieitumikia Chadema ngazi ya ubunge Kisha akajiuza Kama Dada powa pale Buguluni kimboka huko ccm
 
Back
Top Bottom