Lema alikosea kuweka upuuzi wake hadharani. Angebaki nao tu kichwani mwake asingejibomoa vile

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Kila binadamu anaweza kuwa na upuuzi wake mwingi kichwani. Unaweza kuwa na upuuzi wa kiwango cha juu umeubeba kichwani ila kwa kuwa haujulikani kwa watu basi unaendelea kuheshimika. Siku ukiamua kuubwaga upuuzi uliobeba kisha watu wakausikia hapo ndipo dharau zitaanza. Hata wewe hutaamini kwamba ulikiwa umebeba upuuzi wa kiwango kile kichwani.

Kosa la Lema ni moja tu, kuubwaga upuuzi aliokuwa amebeba kichwani ukajulikana hadharani. Lema ameondoa thamani yake yote aliyokuwa ameibeba kwa kujitakia yeye mwenyewe.

Mimi naamini hata Lema mwenyewe kwa sasa ndipo anaamini kuwa kweli alikuwa amebeba mambo ya kipuuzi kichwani ila kabla hajayabwaga hadharani alijiona yupo sawa kabisa kiakili.

Lema kila leo tunamwambia aache kujimaliza kwa kubabaikia upande. Leo huku kesho kule. Lema alitakiwa kusimamia upande ule ule alioanza nao wakati wa uchaguzi mkuu ndani ya chama cha Chadema. Kuja kupiga u turn ghafla kumeondoa thamani yake yote. Lema leo anaonekana mjinga kuliko hata Kina Yericko. Kina Yericko wao ujinga wao ni wa upande mmoja na hawakuwahi kubadilika. Sasa leo Lema amejikuta kuonekana wa hovyo na asiye na mipango wala usimamizi binafsi.

Kosa alilofanya Lema limemgharimu kosiasa na kiimani. Anachotakiwa kufanya sasa ni kukaa mbali na siasa na kujikita kwenye mambo yake binafsi. Akae mbali kabisa na mambo ya vyombo vya habari.

Lema juzi aliongea upuuzi mkubwa sana ambao leo wengi wetu tunajiuliza akili yake aliipeleka wapi? Kajiletea damage kubwa kijamii kwa kushindwa tu kukaa na upuuzi wake kichwani.

Lema na hata yule jamaa Madenge wa twitter ambaye naye kwa mihemko ya kilevi alitwiti upuuzi tu (Kosa kubwa kutumia platform iliyokujenga kuweka upuuzi) mpaka kesho hawatokuwa tena na maana kwa jamii ile iliyowajenga. It's over! Na mbaya zaidi unapoteza hata watu wa maana waliokuwa wanakuamini na kukupa za ndani na kukusikiliza pia. Leo wote wanakuona bwege kwa kutaka hata na wao kuwatia matatizoni kwa upuuzi wako na kujifanya kujua kulipuka.
 
Lema tulikuwa tunam-overrate tu. Jamaa ni mweupe sana. Anajisifia mambo ya kishamba sana. Chadema ndio ilikuwa inambeba na inaficha ujinga wake. Mtu anajisifia familia kuwa raia wa Canada, how stupid is this? Kwa hiyo raia wasiokuwa na uwezo wa kupeleka wake na watoto zao Canada ni wajinga? Anajisifia hawezi kusomesha wanae shule za kata kwa hiyo jamii ya watanganyika wasiokuwa na uwezo wa kusomesha watoto private school wajisikiaje? Of course elimu mbovu kwa shule za serikali ni tatizo la ccm ila kuanza kujisifia kwa hilo ni dharau kwa watanganyika
Anamshambulia Mange kwa hoja nyepesi sana, eti haji kuzika waliouawa! How stupid is this narrative? Kwa hiyo kudai haki lini imekuwa kosa hadi watu wauawe! Kwa hiyo Mange kuja kuzika waliouawa ndio itahalalisha yeye kuhamasisha maandamano? Yaani jamaa ni mtupu hatari. Kwa hiyo watu kuuawa na kutekwa ni kosa la Mange na sio kosa la wauaji ambao hawaheshimu haki za bibadamu na katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kuandamana? Huyu jamaa ni zero brain
 
hivi ule uhuru wa viongozi na wanachama wa chadema wa kutoa maoni siku izi imekua ni anasa au nongwa sio gentleman?

mbona mko confused sana na Godbless Lema kueleza maoni yake.

Mbona Lisu alivyo wahi kueleza kwamba chadema kuna ufisadi wa kutisha hapakua na mayowe kama haya na ilionekana kiongozi huyo katoa tu maoni yake na kwa chadema ni jambo la kawaida tu?

Hata waliotoa maoni yao juu ya ufisadi wa heche dhidi ya pesa za tone tone mbona hapakua na mayowe kama haya?

au Godbless Lema kapiga kwenye mshono kabisa politically speaking?

kwani wanachama wa chadema hamjui kwamba siasa ni sayansi, badala ya mihemko na mayowe, si mseme tu kwamba Lema hayuko sahihi kwenye hili na usahihi ni huu n.k?

sasa makasiriko yatasaidia nini kwa mfano?:pedroP:
 
Hapana alikua sahihi kabisa kusema

Mimi napenda watu aina ya Lema
Watu wameenyooka hata kama ni kwenye ujinga

Alikua sahihi sana kumwaga upupu wake anouona yeye kua ni hoja na kuumwaga hadharani ili watu wamjue vizuri

Niliwahi kusema pia kipindi Mboe ameenda kwenye uzinduzi wa mradi fulani

Watu wali m attack ila mie niliona ni sawa watu fake wa kazi gani kuwafuga?

Kitu watu tunachopaswa kuelewa ni kutomuamini mtu kupita kiasi
Moyo wa mtu kichaka
 
Lema tulikuwa tunam-overrate tu. Jamaa ni mweupe sana. Anajisifia mambo ya kishamba sana. Chadema ndio ilikuwa inambeba na inaficha ujinga wake. Mtu anajisifia familia kuwa raia wa Canada, how stupid is this? Kwa hiyo raia wasiokuwa na uwezo wa kupeleka wake na watoto zao Canada ni wajinga? Anajisifia hawezi kusomesha wanae shule za kata kwa hiyo jamii ya watanganyika wasiokuwa na uwezo wa kusomesha watoto private school wajisikiaje? Of course elimu mbovu kwa shule za serikali ni tatizo la ccm ila kuanza kujisifia kwa hilo ni dharau kwa watanganyika
Elimu haina mbadala... If you think education is expensive, try ignorance
 
Hapana alikua sahihi kabisa kusema

Mimi napenda watu aina ya Lema
Watu wameenyooka hata kama ni kwenye ujinga

Alikua sahihi sana kumwaga upupu wake hadharani ilia watu wamjue vizuri

Niliwahi kusema pia kipindi mboe ameenda kwenye uzinduzi wa mradi fulani

Watu wali m attack ila mie niliona ni sasa watu fake wa kazi gani kuwafuga?

Kitu watu tunachopaswa kuelewa ni kutomuamini mtu kupita maelezo
Moyo wa mtu kichaka
Kwenye kitabu kimoja 46 rules of poeer

Law 4: Always Say Less Than Necessary (Pages 31–36)​

Rule ina state "When you are trying to impress people with words, the more you say, the more common you appear, and the less in control. Powerful people impress and intimidate by saying less. The more you say, the more likely you are to say something foolish."

Lema ame make error kwenye stategy zake, he needs a plan to redeem himself or this is the beginning of end of his political career
 
Lema tulikuwa tunam-overrate tu. Jamaa ni mweupe sana. Anajisifia mambo ya kishamba sana. Chadema ndio ilikuwa inambeba na inaficha ujinga wake. Mtu anajisifia familia kuwa raia wa Canada, how stupid is this? Kwa hiyo raia wasiokuwa na uwezo wa kupeleka wake na watoto zao Canada ni wajinga? Anajisifia hawezi kusomesha wanae shule za kata kwa hiyo jamii ya watanganyika wasiokuwa na uwezo wa kusomesha watoto private school wajisikiaje? Of course elimu mbovu kwa shule za serikali ni tatizo la ccm ila kuanza kujisifia kwa hilo ni dharau kwa watanganyika
Anamshambulia Mange kwa hoja nyepesi sana, eti haji kuzika waliouawa! How stupid is this narrative? Kwa hiyo kudai haki lini imekuwa kosa hadi watu wauawe! Kwa hiyo Mange kuja kuzika waliouawa ndio itahalalisha yeye kuhamasisha maandamano? Yaani jamaa ni mtupu hatari. Kwa hiyo watu kuuawa na kutekwa ni kosa la Mange na sio kosa la wauaji ambao hawaheshimu haki za bibadamu na katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kuandamana? Huyu jamaa ni zero brain
bro umegonga mulemule.

wachaga walilogewa pesa
 
Hapana alikua sahihi kabisa kusema

Mimi napenda watu aina ya Lema
Watu wameenyooka hata kama ni kwenye ujinga

Alikua sahihi sana kumwaga upupu wake anouona yeye kua ni hoja na kuumwaga hadharani ili watu wamjue vizuri

Niliwahi kusema pia kipindi Mboe ameenda kwenye uzinduzi wa mradi fulani

Watu wali m attack ila mie niliona ni sawa watu fake wa kazi gani kuwafuga?

Kitu watu tunachopaswa kuelewa ni kutomuamini mtu kupita kiasi
Moyo wa mtu kichaka
Alichofanya Lemma ni sawa na alichofanya Chacha wa CCM kwa kusema kuwa majeshi na vyombo vyote vya dola ni mali.ya CCM, ni ukweli ambao ulikuwa unafahamika kwa wote ila yeye ameamua kuutangaza hadharani.
 
Lissu atakuja kumpigia msumari wa mwisho. Atasema neno moja tu kwisha habari yake. Tena wakimhukumu kifungo, ndiyo atatoa kauli kali sana dhidi ya vibaraka wote ndani ya CHADEMA.
 
Alichofanya Lemma ni sawa na alichofanya Chacha wa CCM kwa kusema kuwa majeshi na vyombo vyote vya dola ni mali.ya CCM, ni ukweli ambao ulikuwa unafahamika kwa wote ila yeye ameamua kuutangaza hadharani.
Upo sahihi mkuu
Alivyoanza kuongea kuhusu katiba nilijua tu team chadema wapo pungufu uwanjani
 
Kwenye kitabu kimoja 46 rules of poeer

Law 4: Always Say Less Than Necessary (Pages 31–36)​

Rule ina state "When you are trying to impress people with words, the more you say, the more common you appear, and the less in control. Powerful people impress and intimidate by saying less. The more you say, the more likely you are to say something foolish."

Lema ame make error kwenye stategy zake, he needs a plan to redeem himself or this is the beginning of end of his political career
Mkuu, unadhani Lema ana sababu ya kujisafisha ili aweze kuaminika tena kwa wapenda haki na wanachama wa CHADEMA?

Unadhani mtu aliyeamua kuitisha press conference na kufanya mahojiano ya namna ile anastahili kuaminiwa tena?

Na kwanza, lengo la ile press conference lilikuwa nini hasa?

Hasa katika kipindi hiki ambacho wapenda haki wanasubiri maamuzi ya majaji kuhusu kesi ya TL.
 
Hapana alikua sahihi kabisa kusema

Mimi napenda watu aina ya Lema
Watu wameenyooka hata kama ni kwenye ujinga

Alikua sahihi sana kumwaga upupu wake anouona yeye kua ni hoja na kuumwaga hadharani ili watu wamjue vizuri

Niliwahi kusema pia kipindi Mboe ameenda kwenye uzinduzi wa mradi fulani

Watu wali m attack ila mie niliona ni sawa watu fake wa kazi gani kuwafuga?

Kitu watu tunachopaswa kuelewa ni kutomuamini mtu kupita kiasi
Moyo wa mtu kichaka
Huwa anawashambulia sana bodaboda na kusema kazi yao ni kazi ya laana, atuambia kila siku mtoto wake hawezi kuwa bodaboda. Sijui kama hatambui ajira ni shida.

Mara nyingi huwa anatukana sana Watanzania kwamba ni wajinga, waoga wametekwa na Simba na Yanga na sio kuwapigania watu kama yeye waliojitolea maisha yao.
Hata kama ni kweli kuna lugha ya kutumia kuwaelimisha wananchi.
 
Hiyo lugha unayotaka atumie sio viwango vyake hiyo anayotumia sasa ndio uhalisia wake
Mlimuweka kwenye daraja ka kinabii ambalo kimsingi hana

Lema og ndio huyo sasa
Mkubalini au mmkatae
Ni mtu mwenye ngebe na mwenye kupenda ujiko mkubwa
 
Back
Top Bottom