Msimuue kijana wa watu hana kosa, mpelekeni mahakamani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Watekaji, kama ni kweli msimuue Twaha Mwaipaya!
Hana kosa, hata kama ana kosa mpelekeni mahakamani!

Chances are very feeble kuwa atasalimika maana hii ni mission from Malawi!
 
Huyo Pambalu atakuwa source, hata km sio kwa ridhaa yake..zipo dawa za ucngizi ukipewa wakati wa kuamka jambo lolote utakaloulizwa km unalifahamu utasema..!
Twaha ni mtu makini, hayuko km zombie..lazima kuna lead details zimetumiwa kumpata!
Kwa nini itokee baada ya Pambalu kukamatwa?
 
We call it intelligent guess..! Umewaza vyema.
 
Huyu sa100 atamaliza watanganyika kwa kuua. Kaua 1.mzee kibao mchana kweupe
2.polepole kauawa mchana kweupe
3.mdude
4soka
4saanane
5Siulanga mwamwindi wote kawaua huyu mama.TUKUTANE 29/10/2026 AWAMU YA PILI YA MAANDAMANO.
 
Mashetani mtazusha mpaka mmalize uzoshi, Samia is there to stay come 2030
 
Back
Top Bottom