Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
kuna kipindi mwanangu alipataga demu akamset fresh then akampleka ghetto kufika jamaaa kaanza maneuver ghafla demu haongei kimya kazima sjui alikuwa anatatizo gani

Mwanangu alipanic vibaya sana akanicheki kunielezea situation nzima ananiambia mkali nshaua huku mtoto haongei mapigo ya moyo siyaskii kabisa

Wakati huo jamaa kashaanda nguo zake anataka kuhama mji
 
Vijana saizi wana mageto special wanapaita machinjioni....
 

Attachments

  • FB_IMG_1775906779460.jpg
    FB_IMG_1775906779460.jpg
    13.8 KB · Views: 21
Back
Top Bottom