Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

Hahahaha kwa upande wa ke je? Kuna rafkiangu alisafiri mpk Dom kuonana na ki boyfriend chake, sangapi kisianze kutoa povu kama kinakata roho🙆🏽‍♀️
Wadada mna lugha za shombo,... Eti "ki boyfriend"
 
Wala siyo big deal sana ukienda Polisi kutoa taarifa,utashikiliwa tu kwa mahojiano na kukuepisha na mihemko ya wananzengo then utaachiwa kama huhusiki.
 
Mna complicate mambo sana, hapo chapu ita usafiri sema nina mgonjwa kazidiwa mnampeleka hospitali like nothing happened.

Ni kazi ya Dr. kusema nini kimemkuta marehemu.

Sasa jichanganye piga simu polisi, mara umeita watu mara mtendaji, lazima joto likuwakie 🤣
 
Back
Top Bottom