Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Kwani wakala siyo mtu jameni?Huyu si wakala jamani au?š«¢
Kwani wakala siyo mtu jameni?Huyu si wakala jamani au?š«¢
Si ndioAkakuta utamu ushakimbia š„
Sikutegemea kama wanadanganya wanafunzi pia! Nilijua ni boda boda tu..Kwani wakala siyo mtu jameni?
Aisee itabidi tuwe tunafahamiana kwa muda kwanza kaboa ya kupelekana kilingeniš
Kwani shamba au guest hawezi kufa ghafla?Mimi kama mzoefu wa mambo yote yahusuyo kudinyana nangemshauri kijana ampeleke mpenzi wake hata kwenye shamba la alizeti na kumkaza vyema. Yaani kiufupi wafanye mahaba pori.
Ila wanafunzi, konyo sana nakumbuka pale shuleni kwetu form 5&6 walikatazwa kupanda juu kwa O level kbs na Enzi zile watu wakubwa kbs.Sikutegemea kama wanadanganya wanafunzi pia! Nilijua ni boda boda tu..
Mtu anaweza kukufia kitandani aisee!Ni vizuri sana "diagnosis history" ya mtu. Watu wana vifafa vyao.
Mapenzi ya kishuleshule yana moto hatari!Ila wanafunzi, konyo sana nakumbuka pale shuleni kwetu form 5&6 walikatazwa kupanda juu kwa O level kbs na Enzi zile watu wakubwa kbs.
Ila utasikia fulani na fulani wapenzi jamani mapenzi km maji lazima yapenye tuu manina.
Na shule yenyewe ilikuwa na watoto wanamitego hatari fikiria 99 to 2000 watoto walikuwa na simu za mkononi.Mapenzi ya kishuleshule yana moto hatari!
Au hata ukafa wewe, kwani lazima script iishe kwa mwanamke kufa?
Sijajua kwanini kwenye hii narrative watu wameiweka kwa ku base upande mmoja.
Ni kama mhanga wa kupatwa na kifo anakuwa mwanamke tu.
Hio hali utadeal nayo vipi?
Njoo nyumbani weweeeeeā¦.ukikufa si utapimwa.siwezi ona kama ni mbaya nikikaa under security ikiwa wanachukua information zako.Hio hali utadeal nayo vipi?
Katika mazingira yoote ya kufa, kuna asilimia ngapi ya huyo demu kufia ndani kwako? 0.00..% almost zero chance to occur.kuna kipindi mwanangu alipataga demu akamset fresh then akampleka ghetto kufika jamaaa kaanza maneuver ghafla demu haongei kimya kazima sjui alikuwa anatatizo gani
Mwanangu alipanic vibaya sana akanicheki kunielezea situation nzima ananiambia mkali nshaua huku mtoto haongei mapigo ya moyo siyaskii kabisa
Wakati huo jamaa kashaanda nguo zake anataka kuhama mji
Au tangu amezaliwa mpaka leo hii, amesikia case ngapi za hii ishu šKatika mazingira yoote ya kufa, kuna asilimia ngapi ya huyo demu kufia ndani kwako? 0.00..% almost zero chance to occur.
Unapajua au unapasikiaš¹Mijitu inaogopa jela kama ukoma dadadekiš
Shida ipo wapi akifia getto ?kuna kipindi mwanangu alipataga demu akamset fresh then akampleka ghetto kufika jamaaa kaanza maneuver ghafla demu haongei kimya kazima sjui alikuwa anatatizo gani
Mwanangu alipanic vibaya sana akanicheki kunielezea situation nzima ananiambia mkali nshaua huku mtoto haongei mapigo ya moyo siyaskii kabisa
Wakati huo jamaa kashaanda nguo zake anataka kuhama mji