Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Ukiona wanafuatilia hivi ujue walitekeleza especially kumtumia pesa!Je kama familia mlitekeleza majukumu yetu kwa ufasaha wakati kijana yupo masomoni?
Ukiona wanafuatilia hivi ujue walitekeleza especially kumtumia pesa!Je kama familia mlitekeleza majukumu yetu kwa ufasaha wakati kijana yupo masomoni?
kwa 100% nimepambana kwa ajili yake tena alianzia diploma mpaka udsm na mkopo akapata 100%Je kama familia mlitekeleza majukumu yetu kwa ufasaha wakati kijana yupo masomoni?
Huyo dogo nae chenga sana, sasa kutoka form 2 mpaka 4 miaka yote miwili alikuwa anafanya nini na kuishi wapi au alipata mshangazi wa kumlea?Hamdanganyi mtu anajidanganya mwenyewe kama ni hivyo.....
Mwaka flani dogo alitoka kucheki matokeo yake ya form four, akarudi home analiaa vibaya sana kuwa kafeli, bi mkubwa kambembeleza pale kijana wake.
Baada ya siku kupita nikamuuliza ulipata four ya ngapi, points anazosema sio za four, kwenda kwenye shule kucheki matokeo jina halipo. Kumbe hakufanya pepa alitimliwa akiwa form two kwahiyo akawa na kazi ya kula ada kila term, anatumiwa pesa za matumizi akiwa huko mkoa wa tofauti, wakati wa likizo anatumiwa nauli, wakati wa kuondoka anafanyiwa shopping ya shule....kumbe yupo tu kitaa.
Matokeo anayaona leo, alikua anajidanganya mwenyewe
Yeah ni swala la muda tu.Usiwe na haraka mkuu,
Ipo siku atakuja yeye mwenyewe na kuwaeleza kila kitu,
Uongo hua hauna maisha marefu.
Huu uhuni sasa amefafanua mtoto alifiwa na mama yake wakachukuwa jukumu la kumsomesha sasa matusi ya nini?wanafamilia MATAKO YENU kumanina zenu.
Alikua mtaani tu, jamaa mmoja kampanga ndio anajifanya mwalimu..... anapiga simu kupitia huyo fake teacher, hela inatumwa kwa namba ya huyo fake teacher.Huyo dogo nae chenga sana, sasa kutoka form 2 mpaka 4 miaka yote miwili alikuwa anafanya nini na kuishi wapi au alipata mshangazi wa kumlea?
duh asee hawa vijana wanatuumiza sana wazazi! hata sisi tunahisi atakuwa alidiscoHamdanganyi mtu anajidanganya mwenyewe kama ni hivyo.....
Mwaka flani dogo alitoka kucheki matokeo yake ya form four, akarudi home analiaa vibaya sana kuwa kafeli, bi mkubwa kambembeleza pale kijana wake.
Baada ya siku kupita nikamuuliza ulipata four ya ngapi, points anazosema sio za four, kwenda kwenye shule kucheki matokeo jina halipo. Kumbe hakufanya pepa alitimliwa akiwa form two kwahiyo akawa na kazi ya kula ada kila term, anatumiwa pesa za matumizi akiwa huko mkoa wa tofauti, wakati wa likizo anatumiwa nauli, wakati wa kuondoka anafanyiwa shopping ya shule....kumbe yupo tu kitaa.
Matokeo anayaona leo, alikua anajidanganya mwenyewe
Ila mara nyingi,watu wa aina hiyo hua wanakuja kutoboa kwenye maisha,Alikua mtaani tu, jamaa mmoja kampanga ndio anajifanya mwalimu..... anapiga simu kupitia huyo fake teacher, hela inatumwa kwa namba ya huyo fake teacher.
Kuna watu wana roho mbaya sana sijui angekua ndugu yake angefanya hivyo pia. 🙁
Unamaanisha amejipata?Km hawaombi hela ovyo bas ashaanza kugraduate maisha ya mtaan uyo ashaanza kujitafuta muachen tu 😂😂
Hana kosa ,hakutaka paparazi 😁Kuna wa kwetu alifaulu Ila akasema hafanyi gadreshrn ila camera zikamnasa akiwa ukumbuni huko
hawa madogo sijui wamepatwa na nini aseeHii ilishatokea kwa mpwa wangu ambaye nilikuwa namlipia karo, mwaka 2024 alitudanganya kuwa kahitimu shahada ya sheria pale TurDaco, kumbe kuna masomo alifeli mpaka sasa sijaona tena jina lake kwenye kitabu cha wahitimu.
Tuendelee kuwa makini.
Duuh hatari, dogo alifuzu kuwa Pathological Liar.Alikua mtaani tu, jamaa mmoja kampanga ndio anajifanya mwalimu..... anapiga simu kupitia huyo fake teacher, hela inatumwa kwa namba ya huyo fake teacher.
Kuna watu wana roho mbaya sana sijui angekua ndugu yake angefanya hivyo pia. 🙁
Hata tukilaumu haisaidii miaka ishapita.Ila mara nyingi,watu wa aina hiyo hua wanakuja kutoboa kwenye maisha,
Huenda dogo alijiona kua yeye sio wa Shule,hivyo nina imani kua nguvu zake atazielekeza kwenye kutafuta maisha coz anajua kua Shule imemshinda,
Kijana asilaumiwe sana wala kukatiwa tamaa,atakuja kuwashangaza tu siku moja.
Hahahahahaha yeye ndo alikuwa na wasiwasi 😆Hana kosa ,hakutaka paparazi 😁
Si muende UDSM mkaangalie kama amehitimu ama la