MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Ugonile,
kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!!
Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana. Binafsi nipo kwenye hili Kundi.
Ikitokea mdada wa watu akanasa kwangu basi hakuna rangi ataacha kuona. zamani nilikua normal tu caring za hapa na pale ila ila saiv kadri siku zinavozidi kwenda naona kama napungukiwa utu linapokuja suala la mahusiano, kama hatupo karibu basi communication inashuka sana muda mwingi nipo bize na mambo yangu.
Muda wa kuentertain drama za wanawake sina, akilia huko alipo sijali, akilia mbele yangu ndo sijali kabisa. Nshatamkiwa maneno mabaya na maex zangu kwa sababu za kutojali hisia zao ila sijali mpaka kesho.
najua humu wengi ndo wanateswa na mapenzi ila kama kuna wanaume/wanawake wenye tabia kama zangu tuacheni tafadhali. Kama kweli Karma ipo basi itakuja kutunyoosha vibaya sana.
Nawasilisha