Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

Hurt people, hurt people.

Unaweza kuamua kuwa nae au kumuacha aende. Wewe umeamua kuwa life lesson kwake!?

Maybe it’s time to hold yourself accountable, don’t you think?
 
Ntakupigia🥶
 

Attachments

  • Screenshot_20250701_131700_Messages.jpg
    Screenshot_20250701_131700_Messages.jpg
    135.4 KB · Views: 27
Ugonile,

kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!!

Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana. Binafsi nipo kwenye hili Kundi.

Ikitokea mdada wa watu akanasa kwangu basi hakuna rangi ataacha kuona. zamani nilikua normal tu caring za hapa na pale ila ila saiv kadri siku zinavozidi kwenda naona kama napungukiwa utu linapokuja suala la mahusiano, kama hatupo karibu basi communication inashuka sana muda mwingi nipo bize na mambo yangu.

Muda wa kuentertain drama za wanawake sina, akilia huko alipo sijali, akilia mbele yangu ndo sijali kabisa. Nshatamkiwa maneno mabaya na maex zangu kwa sababu za kutojali hisia zao ila sijali mpaka kesho.

najua humu wengi ndo wanateswa na mapenzi ila kama kuna wanaume/wanawake wenye tabia kama zangu tuacheni tafadhali. Kama kweli Karma ipo basi itakuja kutunyoosha vibaya sana.
View attachment 3389621
Nawasilisha
View attachment 3389618

Bado u mvulana, sasa usijisifu kwamba wewe sio mwanaume, ngoja, wakati wake unakuja
 
Hurt people, hurt people.

Unaweza kuamua kuwa nae au kumuacha aende. Wewe umeamua kuwa life lesson kwake!?

Maybe it’s time to hold yourself accountable, don’t you think?
I don't know what to do after all
 
Mleta mada inaonekana ushakuwa traumatized na mahusiano ya awali baada ya kuumizwa umizwa ukaja kuwa sugu ndo maana siku hizi mapenzi unayaona kama SCAM
Hapana mkuu, honestly sijawahi kupigwa tukio
 
Kwanini wote mnaoleta humu chat zenu, mnakuwa mnachat kwa maandishi hamyamalizi, au sijui mnaandikianaje 🙄🙄🙄🙄 naona mnapenda. Ingekuwa mimi mmh!!! Sipendi.
 
Siku utakayo Anza kujali, ndio siku utakayo Anza kulizwa.
Nazan umemaliza mada mkuu, mimi nilijali sana but mwishoni nikaonekana boya, alaf mrudisha ikawa ngumu sanaa,
Usibadilishe msimamo wako, but mtafutie muda wake wakuongea na kuwanae
 
Kwanini wote mnaoleta humu chat zenu, mnakuwa mnachat kwa maandishi hamyamalizi, au sijui mnaandikianaje 🙄🙄🙄🙄 naona mnapenda. Ingekuwa mimi mmh!!! Sipendi.
Mambo ni mengi BL, inabidi tu tuwanyooshe mpaka watapojua kuandika vizuri. wanawake ndo mna iyo tabia sana
 
Ila we jamaa
Unahisu usingizi then umetoka usingizini
Then unaangalia mpira

Ata ukimwambia lazma atajiskia vibaya
Mjali mwenzio

Shida ni nn
 
Heartbreak yangu niliyopitia nimekuwa mtu mwenye roho mbaya sana kwa wanawake after healing, kwa kifupi sijawahi kujali hisia zao. Kibaya zaidi nimekuwa rude na ndio napendwa sana kuliko kipindi nilikuwa najali. Inshort ukiweza kuishi kama hivi umeyashinda mapenzi
 
Kuna watu wanawindwa na kuwinda humu, sasa unataka wafunguke wakose, au umetumwa?

Huo mtego hatuingii
 
Kwanini wote mnaoleta humu chat zenu, mnakuwa mnachat kwa maandishi hamyamalizi, au sijui mnaandikianaje [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] naona mnapenda. Ingekuwa mimi mmh!!! Sipendi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani.
 
Back
Top Bottom