cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Watu mmesanukaa mapemaa?! LOL [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanawindwa na kuwinda humu, sasa unataka wafunguke wakose, au umetumwa?
Huo mtego hatuingii
Watu mmesanukaa mapemaa?! LOL [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanawindwa na kuwinda humu, sasa unataka wafunguke wakose, au umetumwa?
Huo mtego hatuingii
Mtu kama huyu anayendika ...mamb, umemkj, siju xxx...Kwanini wote mnaoleta humu chat zenu, mnakuwa mnachat kwa maandishi hamyamalizi, au sijui mnaandikianaje 🙄🙄🙄🙄 naona mnapenda. Ingekuwa mimi mmh!!! Sipendi.
Mleta mada alikuwa anataka kutuingiza watu kwenye mtego kizembe sana.Watu mmesanukaa mapemaa?! LOL [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sijui wengine wanawezaje, nashukuru hakuna mtu wa karibu, ambaye ananitumia aina hiyo ya maandishi. Fikiria ndiyo mpenzi wako, kila muda ni mm mzm, mmb, mic u, xaxa vp? Yelewiiii namuacha siku hiyohiyo 😅😅😅😅😅😅Mtu kama huyu anayendika ...mamm, umemkj, siju xxx...
Pumbavu sikujibu🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani sijui wengine wanawezaje, nashukuru hakuna mtu wa karibu, ambaye ananitumia aina hiyo ya maandishi. Fikiria ndiyo mpenzi wako, kila muda ni mm mzm, mmb, mic u, xaxa vp? Yelewiiii namuacha siku hiyohiyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada alikuwa anataka kutuingiza watu kwenye mtego kizembe sana.
Unapasha viporo hapa brazaNazan umemaliza mada mkuu, mimi nilijali sana but mwishoni nikaonekana boya, alaf mrudisha ikawa ngumu sanaa,
Usibadilishe msimamo wako, but mtafutie muda wake wakuongea na kuwanae
Ndio ninindebile nusu albino Half american
Jino kwa jino, dipre kwa dipre 😂Ni dipresheni tu🤣🤣🤣
Kivipi kakaUnapasha viporo hapa braza
Muda wa kuwa nae mnafanya nn akati mmeshatengana? Kama nimekuelewa vizuri, huo muda unaompa ni kupasha hapo mana stori za nini tena mshaachana, hata kama mnalea...stori zikiwa nyingi ni kupashana kukumbushiaKivipi kaka
Nilizungumzia kwa watu ambao hawaja achana kakaMuda wa kuwa nae mnafanya nn akati mmeshatengana? Kama nimekuelewa vizuri, huo muda unaompa ni kupasha hapo mana stori za nini tena mshaachana, hata kama mnalea...stori zikiwa nyingi ni kupashana kukumbushia
Sawa, sikukupata vizuriNilizungumzia kwa watu ambao hawaja achana kaka
Wee skilizia kupata msaidiziUgonile,
kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!!
Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana. Binafsi nipo kwenye hili Kundi.
Ikitokea mdada wa watu akanasa kwangu basi hakuna rangi ataacha kuona. zamani nilikua normal tu caring za hapa na pale ila ila saiv kadri siku zinavozidi kwenda naona kama napungukiwa utu linapokuja suala la mahusiano, kama hatupo karibu basi communication inashuka sana muda mwingi nipo bize na mambo yangu.
Muda wa kuentertain drama za wanawake sina, akilia huko alipo sijali, akilia mbele yangu ndo sijali kabisa. Nshatamkiwa maneno mabaya na maex zangu kwa sababu za kutojali hisia zao ila sijali mpaka kesho.
najua humu wengi ndo wanateswa na mapenzi ila kama kuna wanaume/wanawake wenye tabia kama zangu tuacheni tafadhali. Kama kweli Karma ipo basi itakuja kutunyoosha vibaya sana.
View attachment 3389621
Nawasilisha
View attachment 3389618