GE2025 IGP Wambura: Anayefikiria kuleta vurugu atafute nchi nyingine ya kwenda

GE2025 IGP Wambura: Anayefikiria kuleta vurugu atafute nchi nyingine ya kwenda

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi.

Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu




​
Source: Uhondo TV
 
Wanasiasa na wanaowatumikia wakisema “ vurugu” wanamaanisha mambo yanayohatarisha ugali wao. Sio km zile za kumwaga damu ya mdude mbele ya mke na watoto.
Kumbe dish halijayumba sana.
 
Bado naendelea kufanya upembuzi wa viashiria vya vurugu na nani huyo anayetaka kufanya vurugu.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Uzuri ni kuwa technologia huwa inahifadhi kumbukumbu vizuri sana kuliko mwanadamu.

Kuna yule aliyeenda gerezani kipindi cha uchaguzi kama hiki akaja na contena la visu eti CUF by then walitaka kuannzisha vurugu.

Leo yuko huka hata boxer hawezi tena vaa na yake ni msuli na kanzu tuu na catheter. Jeuri ya uzima ni kitu cha hatari sana
 
Hahaha geshi letu linajihusisha na!siasa za chama kimoja, GPO inasemaje?

Maslahi ya mteuzi yanaingiliwa sasa wateuliwa wanayalunda kwa nguvu zote.

Polepole anatupa za ndani havunji amani.

Mnataka kutunyima haki yetu ya kupata habari kwa uhuru. Mlitakiwa mtulinde tukuwa tunapata habari na!watoa habari walindwe siyo kuwawinda kama ngedere.
 
AMANI HAINA MAANA KAMA HAKUNA HAKI.OKTOBA TUNAKINUKISHA.HAIWEZEKANI WATU WEMA WAWE WANATEKWA MCHANA KWEUPE HALAFU WTZ TUKAE KIMYA.OKTOBA LAZIMA KINUKE.
Acha mbwembwe nyuma ya Keyboard wakati ni nyumbu tu hata kijiko kikidondoka breki ya kwanza unaenda kujificha uvunguni
 
Back
Top Bottom