Nadhan nguvu hii ilitakiwa itumike kutenda haki kwa kila mwanasiasa!!!!Wakuu
IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi.
Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu
Source: Uhondo TV
Mwizi huyu anatufokea? Atahama yeyeWakuu
IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi.
Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu
Source: Uhondo TV
Nyan atakemeaje nyani..hapana.
..Igp Wambura anahubiri amani huku akifumbia macho HAKI.
..amani huvurugika pale watawala wanapokiuka HAKI za wanaowaongoza.
..amani inadumishwa kwa kulinda HAKI.
Wakuu
IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi.
Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu
Source: Uhondo TV
Fisadi Wambura atueleze hayo mabilioni ambayo ametumia kununulia hisa ameyapata kwa njia ipi? Yeye akae kwa kutulia tu, zamu yake ya kuwajibishwa itamfikia.Wakuu