IGP Wambura: Matukio ya ujambazi, utekaji na uporaji yamedhibitiwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Polisi 954 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi.

Kwa mujibu wa IGP Wambura mikoa ya Kagera, Kigoma, Arusha na Singida ilikumbwa na wimbi la matukio hayo, lakini hali sasa ni shwari.

Katika kile alichokiita hadithi nzuri kwa Rais Samia, IGP Wambura amesema tangu kuruhusiwa kwa magari ya usafirishaji kusafiri usiku kuanzia Oktoba 1, 2023, hakuna tukio lolote la unyang'anyi lililoripotiwa barabarani.

"Matukio ya utekaji, vikundi vya panyaroad na uvamizi wa nyumba maarufu kama 10 ndani, 10 nje, leo ni historia," amesema IGP Wambura.

Hata hivyo, wakati IGP Wambura akieleza mafanikio katika kudhibitiwa kwa matukio hayo, yapo baadhi ya matukio yanayoripotiwa kutokea yakiwemo ya utekaji ambapo, Jeshi la Polisi na Serikali wamekuwa yakitolea ufafanuzi huku mengine yakiwa hatua mbalimbali za uchunguzi.

Katika kile alichokiita hadithi nzuri kwa Rais Samia, IGP Wambura amesema tangu kuruhusiwa kwa magari ya usafirishaji kusafiri usiku kuanzia Oktoba 1, 2023, hakuna tukio lolote la unyang’anyi lililoripotiwa barabarani.

“Matukio ya utekaji, vikundi vya panyaroad na uvamizi wa nyumba maarufu kama 10 ndani, 10 nje, leo ni historia,” amesema IGP Wambura.

Sorry kama nimesikia vibaya amesema “utekaji umepungua?”
 
Aisee!
Hii ni baada ya kuwadhibiti atekaji, wauaji au wameamua kuokoka na kuacha hizi tabia!?
 
At least huyu baba anasema hotuba yake so professional sio mipasho.
 
Nimetulia kimya nimesikiliza hotuba ya huyu Mama hakuna alipokemea utekaji hata chembe.

Watanzania akili kichwani mwenu kwa wale wanaondelea kujiuliza wasiojurikana ni kina nani.
 
Hivi anaona watu hatuna akili
No REFORMS No ELECTION
Yuko sahihi

Je ni kweli kwamba bado hatuwafahamu watu wasiojulikana si ndiyo hao hao ambao hawatakiwi wajulikane? Ili waendelee kuto julikana ili waendelee kuteka, kubaka, kulawiti na kupoteza walio wateka
 
Ameyadhibiti kwa kutumia mbinu zipi? Mbona hatujawaona waliotekwa wakirejea uraiani, au hao waliowateka wakifikishwa kwenye vyombo vya sheria?

Ni tukio moja tu mpaka sasa la yule mfanyabiashara, ndiyo wale wahuni walikamatwa! Tena ni baada ya kuonekana live kwenye cctv camera za ile hotel!

Afande IGP, remember we are not like those cattle, of Lumumba street! Ok?
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Polisi 954 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi.

Kwa mujibu wa IGP Wambura mikoa ya Kagera, Kigoma, Arusha na Singida ilikumbwa na wimbi la matukio hayo, lakini hali sasa ni shwari.

Katika kile alichokiita hadithi nzuri kwa Rais Samia, IGP Wambura amesema tangu kuruhusiwa kwa magari ya usafirishaji kusafiri usiku kuanzia Oktoba 1, 2023, hakuna tukio lolote la unyang’anyi lililoripotiwa barabarani.

“Matukio ya utekaji, vikundi vya panyaroad na uvamizi wa nyumba maarufu kama 10 ndani, 10 nje, leo ni historia,” amesema IGP Wambura.

Hata hivyo, wakati IGP Wambura akieleza mafanikio katika kudhibitiwa kwa matukio hayo, yapo baadhi ya matukio yanayoripotiwa kutokea yakiwemo ya utekaji ambapo, Jeshi la Polisi na Serikali wamekuwa yakitolea ufafanuzi huku mengine yakiwa hatua mbalimbali za uchunguzi.

View attachment 3362132
Hii kauli sijaielewa ,labda alieelewa aniambie
 
Watu wastaarabu Huwa wanajiuzulu
Huyu IGP aliomba kujiuzulu alikataliwa
Sababu za kujiuzulu ni kutokubaliana na kikosi cha akina Mafwere, Muliro na Afande Awadhi cha kuua, kutesa na kulawiti. Maana Afande Awadhi anapata nguvu kupitia kwa Abdul kupitia ushawishi wa Mama yake na mkwe wake Mchengerwa.
Haya mambo yapo jikoni ndo maana unaona mzee anapenda sana jeshi liende kwa weledi hata yule aliyepiga watu pale Mahakamani alionywa
 
Yamedhibitiwa bila mtu kukamatwa wala kushtakiwa? Yeye mwenyewe hana mamlaka ya kuwakamata hao watekaji, aache porojo.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Polisi 954 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi.

Kwa mujibu wa IGP Wambura mikoa ya Kagera, Kigoma, Arusha na Singida ilikumbwa na wimbi la matukio hayo, lakini hali sasa ni shwari.

Katika kile alichokiita hadithi nzuri kwa Rais Samia, IGP Wambura amesema tangu kuruhusiwa kwa magari ya usafirishaji kusafiri usiku kuanzia Oktoba 1, 2023, hakuna tukio lolote la unyang'anyi lililoripotiwa barabarani.

"Matukio ya utekaji, vikundi vya panyaroad na uvamizi wa nyumba maarufu kama 10 ndani, 10 nje, leo ni historia," amesema IGP Wambura.

Hata hivyo, wakati IGP Wambura akieleza mafanikio katika kudhibitiwa kwa matukio hayo, yapo baadhi ya matukio yanayoripotiwa kutokea yakiwemo ya utekaji ambapo, Jeshi la Polisi na Serikali wamekuwa yakitolea ufafanuzi huku mengine yakiwa hatua mbalimbali za uchunguzi.

Pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom