Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Kama mwenzako anauwezo wakudeposit mamilioni bank unategemea atasemaje?!Hivi anaona watu hatuna akili
No REFORMS No ELECTION
Kama mwenzako anauwezo wakudeposit mamilioni bank unategemea atasemaje?!Hivi anaona watu hatuna akili
No REFORMS No ELECTION
Halo kweli. Ila kumbuka dhulma ina karmaKama mwenzako anauwezo wakudeposit mamilioni bank unategemea atasemaje?!
Kila jambo lina mwanzo na mwisho wakeYuko sahihi
Je ni kweli kwamba bado hatuwafahamu watu wasiojulikana si ndiyo hao hao ambao hawatakiwi wajulikane? Ili waendelee kuto julikana ili waendelee kuteka, kubaka, kulawiti na kupoteza walio wateka