ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Kazi maalumu walizofanya ni hizi baada ya watu kuambiawa wake ndani.
1. KUPIGA RISASI ZA VICHWA WATANZANIA.
2. KUCHUKUA WAGONJWA WOTE WA RISASI WALIOKUWA WAKIPATIWA MATIBABU HOSPITALINI NA KUENDA KUWAMALIZIA.
3. KUPOTEZA MIILI YA WALIOWAPIGA RISASI NA KUENDA KUZIKA KWENYE MAKABURI YA HALAIKI.
Hili Tamko ni Ushahidi tosha kuwa waliouwa watanzania ni POLISI na vyombo vya usalama. Kwahiyi wakisema kuna waandamanaji walikuwa na BUNDUKI watuonyeshe Hao waandmanaji na sisi tuwaonyeshe askari na watu wa usalama waliokuwa na bunduki wakipiga risasi watu za vichwa.
Ushahidi mzuri sana wa kupeleka ICC HUU. Hawa wote watatuambia nani aliwapa amri ya kutuua watanzania. Hizo bangi zake zitaisha tuu kichwani.