Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.

Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa: Nani Awajibike?, kilichoandikwa na mwandishi mwandamizi wa vitabu, Hendry Kanje.

Katika salamu zake, Prof. Salum amemfariji IGP Wambura na familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
washangiliaji vifo bado hawajaanza kazi hiyo au?

R.I.P. Mzee wambura 🌹
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.

Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa: Nani Awajibike?, kilichoandikwa na mwandishi mwandamizi wa vitabu, Hendry Kanje.

Katika salamu zake, Prof. Salum amemfariji IGP Wambura na familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
uliza vyanzo vyako vzr, leo nimesali na dada wa IGP na familia ya dada ake, sijaona dalili za msiba, na Baba wa Igp anakaa Mikocheni,
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.

Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa: Nani Awajibike?, kilichoandikwa na mwandishi mwandamizi wa vitabu, Hendry Kanje.

Katika salamu zake, Prof. Salum amemfariji IGP Wambura na familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Vipi wanahusika yamekwisha marikana? Nakuliza maana siku hizi ni mwendo wa kubakiziana, mara Chadema wanahusika!
 
Back
Top Bottom