Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Hamjambo humu?
Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali.
Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected.
Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
Wadau mpo poa? Mwanenu hapa nahitaji msaada .
Niliibiwa simu yangu , baada ya muda nilipata nyingine . Changamoto ni pale ambapo katika ku log in kwenye simu mpya ikanihitaji nifanye 2 step verification. Kipengele kikawa kwamba namba niliyoisajilia hii email yangu kama verification...
Habari zenu ndugu zangu ,
Mimi ni mtumishi idara Fulani sasa juzi tulikuwa na hafla fulani au tuseme ni ziara fulani nje ya mkoa sasa ikapelekea kunywa pombe kupitiliza na kuanza kuropoka yaani kila mfanyakazi mwenzangu alijua kwamba nimelewa na wengine kuwaweka wazi kuwa nawapenda sasa hii...
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.
Na hata nikimuangalia Mkewe...
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
Tukio hilo limefanyika katika...
Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu"
Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini
Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda kupiganisha makarashani/maduara(migodi midogo) mchizi kapiga Bingo
Mara ghafla kanununua range rover, anapanga...
Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana.
1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa.
2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa...
Pc bei kigonga kabisa 280k. Hp Pro book. Proccessor Intel-Pentium (7th Generation) Ram 8gb, Hdd 500gb, battery 4hrs uhakika. Price 28k maongezi yapo 0628116693
Habari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote...
Wakuu nauza laptop aina ya Hp Pro Book, Yenye Ram 8GB, Hdd 500gb. Battery 4hrs. Haina kipengele chochote sema tu nauza kwasababu nina shida ya haraka. Napatikana -Banana-Dar Es Salaam Mawasiliano yangu ni 0628116693
Price 380,000
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
SAFARI YANGU KWENYE BETTING!
Betting mwanzo niliiona kama issue ya kihuni sana. Na nilishangaa kumwona mtu niliyemweshimu sana anabeti. Ukweli nilimshusha thamani siku hiyo. na nilimwambia pale pale kuwa sikutarajia kukuona upo side hiyo😂 aliishia kucheka. akanitania kwa kusema ananipa 2months...
Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha.
Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu.
Tangu nikiwa mdogo hii tabia nilikuwa nayo!
Wakati nasoma shule ya msingi kipindi hiko tulikuwa tunakaa kwenye mawe na...
Habar za mda ndugu zangu.
Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana.
NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa,
nilizaliwa mkoani Tanga katika familia hata kula yetu ulikuwa Haina mpangilio wa ratiba,
kunawakat tulilala njaa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.