Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
Tafsiri ya kitaalamu inaelezea malezi kuwa ni mchakato wa maandalizi ya mtoto utakaomwezesha kukua, kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiutamaduni kwa kumlinda, kumjamiisha na kumpatia mahitaji na huduma za msingi.
Iwapo malezi ni mchakato wa maandalizi ya mtoto basi shurti...
Sawa mnitukane sina hela.
Vibinti tu ya 20+ yrs.
Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki.
So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu?
Nia ninayo.
Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
Dakika chache zilizopita Rais Samia ametoka kumtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa Rais badala ya kumtaja kama Rais Mstaafu katika Utambulisho wake kabla ya kuanza kutoa Hotuba yake. Kama kawaida najua kuna wale Watetezi hovyo watakuja Kubisha hivyo naomba warejee matangazo ya TBC1 ili waweze...
Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa
Mapengo
. husababisha Meno mengine Kutoka
.Meno Kuoza
.Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake
Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia
-Kutafuna Chakula Vizuri...
Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!.
Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
Hello waungwana!
Ni sasa kama mwaka wa pili unaenda Niko na jirani yangu hapa kutokana na kuwa kwa Dar es Salaam kuwa ya mgao wa maji muda wote mwaka mzima, basi huyu jirani akiona maji yanatoka kazi yake ni kufunga MITA yangu ya maji ili maji yote yaende kwake.
Ananisababishia hasara...
Awe muislam . Awe anajua dini . Apende kusali, Awe anajali na awe ametulia .
Awe mrefu wastani.
Elimu awe nayo awe anajua lugha ya kingereza kaka yangu anakijua vyema .
AWe anajisitiri .
AWe anakazi nzuri.
Mawasiliano njo Dm nikupe nipo serious .
Miaka 27 mpaka 33 asiwe na mtoto .
good night...
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa
Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku...
Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu
Maisha yaliendelea tu vizuri sasa kuna siku kaniomba nimuazime pesa 30k alijua kabisa nina pesa na lengobla ile pesa...
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue
Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani,
Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki
Jiko la...
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake...
Nimekuwa nikisema mara nyingi kuwa sikubaliani na fundisho la Dini hizi( Abrahamic religion/ ukristu, uislamu, na Judaism) kuhusu sababu kwanini binadamu tumeumbwa duniani
Mafundisho ya Dini hizi yanasema bila aibu kwamba ; 👇👇👇👇
" Mwenyezi Mungu alituumba wanadamu ili tumuabudu"
Nikasema...
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
Habari zenu, nina simu yangu samsung A13 nimeanza michezo wa kufuta majina niliyoyapost jana na miezi 6 iliyopita.
Naombeni msaada wenu tafadhali I kwa anayejua msaada please
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.