yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  2. Rule L

    Top 6 yangu ya marais duniani. Kuanzia mwaka 2015

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. 1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani. 2 Kim Jong UN 🔥🔥🔥🔥🔥 3 Vladimir Putin 🔥🔥🔥🔥 4 Ibrahim traore🔥🔥🔥🔥 5 Donald trump 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 6 Robert Mugabe R.I.P giant NB. Zingatia namba tano
  3. Intelligent businessman

    Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

    I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu. hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu. Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu. ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
  4. M

    Namtafuta rafiki yangu Mbazi Mkiramweni

    Kama huyu rafiki yangu yuko humu tafadhari nimtumie namba yako PM Nakutafta sana
  5. KENZY

    Mmeniponza! Nimecharuana na rafiki yangu!

    Weekend iliyoisha mida ya saa tatu usiku napigiwa simu "oya njoo umchukue rafiki yako huku yupo chakali!" nikang'oka fasta mi nilikuwa sijashitua siku hiyo, kufika namkuta jamaa yupo nzwii haswa nikabeba weka kwenye bajaji huyo tukaanza safari ya kumpeleka ghetto kwake!. tukiwa njiani jamaa...
  6. GENTAMYCINE

    Nina Timu yangu Mtaani nataka kuichagulia Kauli Mbiu moja kati ya hizi Tatu zifuatazo....

    1. Gusa Achia urudi Bongo 2. Gusa Achia urejee NBC 3. Gusa Achia ule wa Chuya Nitajie moja tu ambayo itapendeza hasa.
  7. Dialogist

    Ni Humphrey Polepole Na Tashtwiti Yangu...

    Wandugu Habarini... Nimepata Tashtwiti Ya Kuandika Leo Juu Ya Humphrey Polepole Baada Ya Kutafakari Kwa Kina. Ni Wazi Hakuna Mpenzi Wa Siasa Za Tanzania Asiyemjua Huyu Jamaa. Naweza Sema Kwa Namna Moja Au Nyingine Alikua Nyota Ya Mchezo Sana Katika Kubadilisha Siasa Za Nchi Hii Kipindi Cha...
  8. Financial Analyst

    Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

    IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL.... Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM. Kufika kule wale walimu walishangaa ni namna gani napaswa kuwa darasa la sita, wakati hakuna...
  9. K

    Unaweza kumshitaki mtu alikugongea mlango kwa Fujo ukiwa ndani?

    Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki?? Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
  10. L

    NAILETA KWENU CV YANGU

    Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama. Naanza kwa kusema kuwa ni huzuzni kubwa sana kwa CV kama hii kukaa haina mchongo wa kueleweka katika ulimwengu...
  11. The Assassin

    Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  12. GENTAMYCINE

    Mtani wangu Mkubwa na Kaka yangu Maxence Melo ana Undugu wowote na Mwanasiasa Boby Wine wa Uganda kwani wamefanana sana

    Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe. ANGALIZO Hili ni Jukwaa la CHATS and...
  13. Maleven

    Mungu anipe nguvu ya kupuuzia mambo ili kuokoa afya yangu

    Najiona kwenda kuangukia kwenye ugonjwa wa moyo kutokana na changamoto za huyu mwanamke. Nimekosea sana kupuuzia baadhi ya mambo kipindi cha uchumba nikidhan atabadilika. Anamatumizi mabaya ya hela. mvivu anakiburi ukimuelekeza anaona anaonewa Kuna muda hadi nawaza huenda uwezo wake wa akili...
  14. The dumb Professor

    Jamaa kaniwahi kuingiza vocha yangu, hadi tumepigana

    Leo nipo zangu kwenye daladala na kavocha kangu ka 500 nimeshakwangua tayari kwa kuingiza. Wakati naingiza nilikuwa nahangaika maana kioo changu hakitachi vizuri. Jamaa wa jirani akawa anainakili fasta na kaiingiza. ilipokataa nikamdaka fasta meseji imeingia. Kwakifupi tumepigana, nimemng'oa...
  15. T

    NILIMPA FIGO YANGU

    NILIMPA FIGO YANGU Kila ninapokumbuka, moyo wangu unauma, Nilimpenda Rebeka, ni binti wa Kimanyema, Chuoni nilipofika, kwa pamoja tulisoma, Nilimpa figo yangu, la mbele sikutambua. Tangu afike chuoni, Rebeka nilimpenda, Kimtazama usoni, utakutoka udenda, Ni shombe shombe makini, lizaliwa huko...
  16. chiembe

    Kwa kuzingatia hotuba ya Lemma leo, uchaguzi mkuu wa chadema utagubikwa na fujo na vurugu kubwa. Busara ya Msajili wa vyama inatakiwa kuusogeza mbele

    Hii ni tathmini yangu ya haraka haraka. Kuna fukuto kubwa sana na bifu kubwa sana kati ya wanachama na viongozi wa chadema. Natabiri vurugu kubwa sana ambayo kama Ubungo Plaza watakubali kuwapa ukumbi chadema, basi wajiandae kwa lolote litakalotokea, vinginevyo Chadema waweke dhamana ya fedha...
  17. britanicca

    Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

    Asalaaaaamu, Britanicca hapa! Matumaini yangu ni wazima ! Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake! Kagame mnyoshee mikono! Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
  18. FK21

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Anasema Kuna ka demu alikatongoza kakakubali Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm nimeshindwa kumshauri
  19. D

    Nimefika state ya furaha yangu haitaji mtu yeyote Yule . Nashindwa kuona . Na party sana

    I will be short Any way very late 20s . Sina mtoto sina Mchumba , Ila na pisi Kama 3000 hivi . Any way nilijikubali kuwa furaha yangu is my own kitambo sana . Yani hata Dunia nzima mpotee mda huu Mimi fresh tu . Issue living with these women . Mimi nimeshindwa maana Sina unhappy...
  20. S

    Changamoto kwenye facebook account yangu

    Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii imefanya nikifungua fb nakutana na notifications nying upande wa messager, fb account hzo zimechat na...
Back
Top Bottom