yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Kalaga Baho Nongwa

    Sijawahi na sitakuja kukutana na kitu kitamu walahi kama kile katika maisha yangu yote yaliyobakia

    Wakuu inafikirisha kidogo! Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu. Leo katika pitapita zangu tandika nikaona juisi ya miwa nikajikoki ya jero. Dah! 🤔🤔 wakuu sijawhi kukutana na kitu kitamu...
  2. Ezra cypher

    Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo

    Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo. Umri 18-34 Elimu, yoyote ilimradi awe anajua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili vizuri , maana huyu jamaa ana Biashara fulani kubwa na moja ya majukumu ya huyo mke atakuwa anasimamia baadhi ya Biashara zake na kutuma taarifa. Dini -...
  3. Rule L

    Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

    Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida. Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana. Azam tv nao...
  4. Mr Why

    Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

    Ndugu zangu kuishi Afrika lazima uweze kuvumilia kero za watu lasivyo patakushinda Kero kubwa ya Afrika ni watu kutaka kujua siri zako na mambo binafsi yanayohusiana na faragha Labda nianze kwa kujielezea kiasi, mimi ni baba wa watoto wawili wa kwanza ana miaka mitano wa pili miaka miwili...
  5. milele amina

    Ninatangaza kuuza Avatar yangu!

    Karibuni! Niwatakie Heri ya mwaka mpya 2025
  6. M

    First Eleven yangu Simba ikiimaliza Singida Black Stars Jumamosi

    Singida sio siri wana wachezaji wa hatari kuliko hata Azam, ila kama Fahdu atanipangia hivi hawa wapuuzi wanakufa vizuri tu Soma Pia: Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars 1 Pin Pin Camara 2. Kapombe 3.Tshabalala/Nouma 4.Hamza 5. Che Malone 6...
  7. R

    Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

    NJIAPANDA; NIFANYE NINI NAMTAMANI KAKA YANGU! Nina miaka 33, sijaolewa na sasa hivi siko kwenye mahusiano, iko hivi, mimi nafanya kazi na kipato changu ni kizuri tu. Naishi kwa Kaka yangu, si Kaka wa tumbo moja bali ni mtoto wa Mama Mkubwa ila tunaishi kama ndugu. Huyu Kaka ana kampuni yake...
  8. 4

    Ndugu yangu Yeriko , hivi haibu hii unawapelekea mizim wako tena ,mizim itakuchoka.

    Wakuu jf amani ya kila mtu jf imezingatiwa nami nasema Mungu wetu yu hai Kwako Yeriko Nyerere , naona watangangika wameanza kukuona zwazwa spana za Facebook sio za kitoto mkuu jitafakari, umeyataka mwenyewe na yanakurudi sasa ,nenda kwa mizim yako katubu ,vinginevyo hakuna rangi hutoina hapa...
  9. Bodhichitta

    Nina miaka 32, nataka niutumie mwaka wa 33 kurekebisha makosa yangu yote ya nyuma

    Aslaam, Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari. Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu. Asikuambie mtu hii kitu(hofu) ni ya kijinga saana, nakama hujaiugundua mapema inaweza kukumaliza mpka uzeeni...
  10. kindikinyer leborosier

    Naelekea kupoteza mafao yangu, ushauri wenu Wanasheria

    Habari ndugu zangu, Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu. 1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss wangu waliniahidi kiasi Fulani Cha fedha wanapeleka NSSF lakini hawakuwa wakifanya hivyo, na kibaya...
  11. Kalaga Baho Nongwa

    Mikakati yangu 2025 kubana matumizi

    Nimependa sana some strategies zinazotumiwa na wahuni kuishi. Asee wahuni wana balaa sana, some tips natohoa kwao ili nipate kitu perfect mwakani. Mbinu kubwa ya utajiri ni ubahili, minimize cost as you can kama "earning" haiongezeki Mwakani wakuu rum ya elfu 20 ya umeme mbagala inatosha...
  12. muafi

    Nimegundua ni upumbavu kuweka maisha yangu rehani tena kisa CHADEMA!

    Haya ni maoni yangu binafsi, Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
  13. Kudo

    Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

    Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa... Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka...
  14. Mwanangikolo

    Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya Poland. Basi nikawa nimekuja toka wiki iliyopita kufatilia basi akawa ameniunganisha na uyo agent na...
  15. mhanuzi wangu

    Maoni yangu; ijapokuwa ukweli huuma lakini uongo huuma zaidi

    Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.
  16. Manfried

    Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

    Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti. Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama. Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs...
  17. Pdidy

    KWA SGR HII DAR MORO DOM MH MAMA SAMIA MI 5 TENA KURA YANGU UNAYO MAMA

    NIlikuwa nasikia tu na kuona kwenye TV aisee MH mama SAMIA kwa treni hii niliyopanda dar n Moro baadae Moro Dom MH mama una mi 5 Tena inakusubiria MUNGU akupe uhai na upendo WA kuendelea kuwatumiikia wananchiiiiba KUIPENDA nchi yetu Wacha wale wahuni waumizane kugombea uenyekiti Sisi...
  18. Brojust

    Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  19. Noel france

    Hahaha.... Basi kama maono yangu yatatimia, big up FAM na TAL + CDM

    Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule. Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea kukaza ili tupate pesa ya kukijenga chama kwa kutengeneza fake conflict Kisha tutakuja kumalizia dk...
  20. A

    DOKEZO Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai

    Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa. CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
Back
Top Bottom