zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
Wanajf habarini..
Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka.
Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa halmashauri na wakanihakikishia hilo halina muda mrefu, litafanikiwa. kwamba wilaya zake ziwe Nanyumbu, Masasi mjini(kama sikosei) na kadhalika.
Masasi ina kila sababu ya kupewa kuwa mkoa. Ninaamini hili.