BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,475
- 7,029
Shida iko kwenye kuanzisha mkoa kwa kumega maeneo ya mkoa mwingine..ingekuwa rahisi kama mkoa ungekuwa unaanzisha kwa kuunganisha maeneo ndani ya mkoa.Toka miaka ya 2013 Serikali chini ya Dk Jakaya Kikwete ilitangaza kuunda mkoa mpya wa Kusini na kutaka Masasi ndio iwe kitovu. Ni kweli usiopingika Masasi inastahili.. hii miundombinu ya Barabara inayozidi kujengwa Masasi inazidi kufanya mji uvutie, uwe accessible na kuchagiza Maendeleo.
Mkoa wa Masasi unaweza kuwa na Wilaya hizi.
✓ Masasi (Hapa pataluwa na Halmashauri mbili yaan ya Mji na ya wilaya(Vijijini) kama ilivyo sasa.. Baadae Mji utapewa Manispaa
✓ Nanyumbu (Mangaka)
✓ Tunduru
✓ Nachingwea
Tunduru inategemewa na Ruvuma kwa uzalishaji na uchumi wa Korosho na Nachingwea pia kwa mkoa wa Lindi.
Hoja yako sio mpya..ilishawahi kuchakatwa na ikishindikana kwa hoja hizo nilizozisema.
Hivyo.