Ongezea:Simu yako ndivyo ilivyo kwa sababu ilikuja nchini kwa ndege/per Avion.Ndiyo maana kila ikinyanyasika na shida za nchi hii hujikumbusha kwao "Mirumbani"!.✈️Alipoona kindege akaniuliza, kwanini nimeweka kindege??
Mie nikamjibu.... hiyo ni miss call kutoka Airport...🤗
Au nimekosea wakuu...!!??
Haka ndio kale ka Gen-Z kaliko nisave "mubaba wangu"View attachment 3695231
Haka katoto kananipelekesha sana mkuu....Ongezea:Simu yako ndivyo ilivyo kwa sababu ilikuja nchini kwa ndege/per Avion.Ndiyo maana kila ikinyanyasika na shida za nchi hii hujikumbusha kwao "Mirumbani"!.✈️
Hako ndiko bomba mkuu!Kila wakati unakuwa prepared kama kuruta kwenye hanga anamvizia afande wake.Anakujenga to perfection!Haka katoto kananipelekesha sana mkuu....
Nataka nitemane nako tu...
Katoto ka-2000 kanampeleka mbiombio mpaka anatamani amsemee kwa mke wake.Atauona moto!Unatuma uzi ukiwa Mirembe?
Huu mwaka nimepatikana karibia na mwishoni mkuu.... haka ndio kale kaliko nisevu kwenye simu yake "mubaba wangu"...😂Hako ndiko bomba mkuu!Kila wakati unakuwa prepared kama kuruta kwenye hangs anamvizia afande wake.Anakujenga to perfection!
Ushimen mtoto wa @dr BazaziAlipoona kindege akaniuliza, kwanini nimeweka kindege??
Mie nikamjibu.... hiyo ni miss call kutoka Airport...🤗
Au nimekosea wakuu...!!??
Haka ndio kale ka Gen-Z kaliko nisave "mubaba wangu"View attachment 3695231
Uendelee na akili-mnemba zako hivyohivyo mkuu.Ukibadilika utatukwaza sana.Mbona hata hawa mudi wa humu wanajua mimi sina akili mkuu...🤗
Kwani wemgeni hapa...🙄
Ndie huyu nilimwambia siwezi kumuoa na umri wake ushasogea...Uendelee na akili-mnemba zako hivyohivyo mkuu.Ukibadilika utatukwaza sana.
Party imekwisha?Hapo inabidi muokote chupa zote za maji zilizotumika mkauze ili mfidie usumbufu mlioupata.Ndie huyu nilimwambia siwezi kumuoa na umri wake ushasogea...
Yeye akaniuliza kwanini??
Mimi nikamjibu kwa kumuuliza kwamba..... kwani utajiskiaje siku ukienda club na ukute party imekwisha...??
Hiyo siku kalinuna aiseee.....😂😂
hahahah kwanz ulimtongozaje?Ndie huyu nilimwambia siwezi kumuoa na umri wake ushasogea...
Yeye akaniuliza kwanini??
Mimi nikamjibu kwa kumuuliza kwamba..... kwani utajiskiaje siku ukienda club na ukute party imekwisha...??
Hiyo siku kalinuna aiseee.....