Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

umesema ukweli kuna vitu ambavyo unaweza kueleza na kuonekana mjinga kutoa mimba kwa hali yake duuh.
Mwanamke ndie anapaswa kushikilia mahusiano ukiona mwanaume ndie anae shikilia mahusiano

Ndio utasikia mtu kaua mkewe, utasikia kapiga mkewe ila mwanamke akikupenda utapata Raha ila vice versa ni tragedy
 
Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.

NAOMBA USHAURI WANA JF.
Mpenzi waKooo? Tena How?
 
Niliwahi kudanganywa na binti mmoja hivi dodoma wakati naishi huko kuwa daktari alimpa soda akajikuta kitandani asubuhi, nilijuliza hivi huyu kaniona msenge kiasi hicho?
Yani ujikute kwa mtu asubuhi kitandani? Hukwenda kushitaki popote, okay kwake ulifata nini? Eti alinitibu tukawa na ukaribu akaniomba siku niende kwake nikamsalimie.
Sijui ukweli halisi kuhusu huyo wako ila kwa upande wangu HAPANA.
Kuna muda sijui akili zao huruka
 
Jamaa unaweka posts za kubumbwa tu...

Hakuna mwanaume anaweza kwenda kufanya ukatili wa namna hiyo, alaf anaanzaje kwamfano?
Wewe watu huwajui,, watu kwenye pesa, ngono, na mamlaka wanabadilika wanakuwa wanyama.
 
Back
Top Bottom