Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,
Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani?
Hasa katika barabara za vijijini?
Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi
Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan
Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali
Hee kivipi mbona MASAA mengi akasema walikuwa wameshapita bagamoyo
BAADA ya mda wakasimamishwa na traffic
Traffic...
Habari za wakati huu wanajukwaa!?
Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa kumaliza (juu ya changamoto zilizonipata) hivyo mwakahuu mwezi wa 11 nitaenda kumalizia mtihani wangu...
Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana
Tulimuona Dr mara kadhaa
Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe
Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
Wataalam hebu niambieni hicho kitu kipo au Ndio namna nyingine ya utapeli?
San Mushroom Farm was established in 2013 and is one of the leading agricultural technology companies in Tanzania.
Millions of tons of crops, processed foods, and raw materials are distributed domestically and...
Namuomba MUNGU Anipe mchumba
na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra,
Sio mnene sana/Chaga
Ni wa kawaida
Sina Ugonjwa wowote
Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane
Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi...
Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress.
Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro huko mashuleni. Wazazi chukuweni hatua stahiki ✍️✍️
Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu,
Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%?
Serious BOT?
Fanikiwa microfinance 42%
Magere credit 42%
Platinum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.