Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo wanatumikia hili shirika je ndio makataba wa milele
Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao.
Referee ni yule yule Rose Mhando
Hawana fitness ya kueleweka
Rage yupo kwenye kamati kuu
Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+ patawekwa tuta na watafungwa
Ni hayo tuu mods naomba mnitimizie nilichoomba
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Nimeona nije hapa niweke mambo sawa
Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana
Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi
Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu
Asante sana kwa kunisikiliza
Sisi wafuasi...
Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL)
Ujuzi: VETA na SIDO.
Makazi: Dar
Naweza fanya Kazi: Popote
Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha:
*Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa ndege (Incubators)
*Uundaji wa mashine za kukausha mazao na samaki
*Uundaji wa mashine za kugandisha...
Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja biologia.Pia ambazo siyo professional Kama
—⟩Ufugaji wa kuku aina ya broiler.
—⟩kilimo Cha bustani...
Baada ya kuona wataalamu mbalimbali wakishauri tutumie zaidi mafuta ya kupikia yatokanayo na wanyama badala ya mbegu nimeona mafuta ya nguruwe yatanifaa. Nimepata wazo la kwenda kuyanunua buchani na kuyatayarisha kisha kuyahifadhi. Sasa ninaomba kwa anayefahamu namna nzuri ya kuyahifadhi ili...
UHURU WA MAHAKAMA
Kwako Ibrahim Juma , CJ.
MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU
Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
Kuna sehemu nilipata kazi private sector sasa yapata mwezi mmoja umepita,mkataba nilisaini sehemu yangu ile ya employee ila employer hakua amesaini,nikamkabidhi HR wa kampuni na taratibu nyingine za kuwa on borded zikafuatwa.sasa mpaka Leo hr hajanipa copy ya mkataba wangu ambayo imesainiwa na...
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona taarifa zikienea mitandaoni juu ya raia wapya wale wanne walioomba na kukubaliwa na hawa tisa wanaoomba,
Kwa wasomi wetu naombeni ufafanuzi juu ya hili. Maana katika kila jambo katika dunia lina hasara na faida yake,.
Je, kama kunaweza kuwa na hasara...
Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi tena kazini ila akiwa na mtoto wake. Binafsi nilidhani baada ya miezi 3 angeweza kurudi na kuchapa...
Moja ya jambo ambalo ningependa libali kwenye kumbukumbu na vitabu vya historia za uchaguzi nchni ni pamoja na majina ya timu iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na sasa uchaguzi wa viongozi wakuu wa CHADEMA.
Wamefanikiwa kukamilisha uchaguzi wa mabaraza bila kuwa na pingamizi wala mjumbe au...
Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.