Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu
Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi
1,hali ya hewani
2,aina nzuri ya mbegu
3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri
4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa
5,jinsi ya kuvuna na...
Good Sunday Ladies And Gentlemen...
Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo...
..Ni Siku Ya Usafi Kwa Nchi Nzima. Hivyo Iliwalazimu watu wote, Sekta Zote, Biashara Zote Na Kila Kinachofanya Kazi...
Leo nakiri bila kushurutishwa makalio yana umuhimu wake.
Najua baadhi ya waja hasa flat screeners wataguna😜na wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai eti makalio makubwa yanapunguza akili.
Nimegundua akili zikiwa za kuvukia barabara zinatosha.
Kwanza mnaotaka miakili mingi yanini? mnataka...
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia
Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!,
Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao...
Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good
Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho
Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025
Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
Na siku hizi wamekuja tofauti, zamani unatumiwa ujumbe moja kwa moja, sikuhizi utatumiwa meseji habari yako, hellow, vipi, n.k.
Unaweza kudhani ni mtu mnafahamiana labda huna namba yake, unamjibu kwa heshima ghafla unatumiwa meseji "Samahani naitwa fulani nilikuwa naomba urafiki naomba unisevu...
Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT.
Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC
Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga.
Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
Amani kwenu. Naomba tusikilize video hii ambayo nimeweka link hapo chini. Tovia Singer ni mwalimu wa dini ( Rabi) mwenye asili ya uyahudi na mwenye kufuata imani ya kiyahudi ( Judaism).
Hapa anakanusha kwamba Yesu hakuzaliwa na bikira na wala jina Imannueli (Mungu pamoja nasi) siyo jina la Yesu...
Hello!!! Habari za jioni madactari na nurses,mwezi wa kwanza nilipata hedhi yangu tarehe 10(10/1/2025) mwezi wa pili huu nimeanza kupata hedhi yangu jana saa 11 Asubuhi ,je? Nina mzunguko wa siku ngapi na siku zangu za hatari ni tarehe ngapi na tarehe ngapi nahitaji kupata mtoto.ikimpendeza...
Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani aliyemtengeneza? Je Mungu asingemtengeza shetani, hawa watu wetu wangepotoshwa na nani? Je alimtoa kwa...
Wanajukwaa habari za wakati huu.
Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi
Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF anadharau juu ya haki za watumishi wenzake ambao wanadai haki zao. Ajue na kuelewa maana ya haki. Hapo...
Naomba kuuliza
1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua imeishia hapo?
2.Maswali gani wanauliza hasa kwa upande wa accounts officer ii?
Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k
Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa...
Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana tumezoea kuona mume anafariki lakin hapa mke kafariki na katika mkopo anahusika kama wakopaji wote...
MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA.
KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO;
TIN (CASSITERITE)
NICKEL
COBALT
MANGANESE
TANTALUM (COLTAN)
TUNGSTEN ( WOLFRAMITE)
HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.