Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga

Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga

Hakuna bei moja. Mfuko unaweza kuuzwa shillingi 500 sehemu moja na sehemu nyingine ujazo huo huo ukauzwa millioni 500. Kinschotofautisha bei ni uwingi wa dhahabu unaokadiriwa kuwemo kwenye udongo/mawe.
 
Kwa hio wewe ni mchimbaji umekuja kuuliza hapa ? Hata kwenye masoko ya duniani umeshindwa kuangalia?

Bongo nyoso
 
Back
Top Bottom