ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Natambua haja ya serikali kupata fedha za haraka Kwa kuuza Akiba kubwa ya dhahabu Ili kupata pesa za kugharamia miradi mikubwa ya miundombinu inayoendelea hasa SGR.Soma hapa (1) Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu | JamiiForums Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu
Pamoja na Hilo ni vyema Ukaundwa Mfuko maalumu wa Miundombinu ambapo utakuwa unatumia fedha kutoka vyanzo vyote vya Madini.
Tukiwa na huo Mfuko then tuainishe aina ya miundombinu ambayo itapewa kipaombele.
Kwa Hali ya Sasa fedha za Madini zinaingia Mfuko wa Serikali na Hazina specific use na ndio maana uki trace kujua tumenufaikaje ni ngumu kutaja specific projects matokeo yake watu watakwambia hawajui pesa inakoenda.
Kama Serikali utaona inafaa ichukue wazo hili Ili baadya miaka 10 tutakuwa na Cha kuonesha.
Kama imewezekana kwenye tozo ya Mafuta kuwa chanzo Cha Mapato ya Tarura hata hili la Madini litawezekana.
Naomba kuwasilisha.
View: https://www.instagram.com/p/DUD_WpwjDnw/?igsh=MXJxcW1lcDlpamsycA==