Counter Opinion: Badala ya Kuuza Akiba ya Dhahabu, Uundwe Mfuko wa Miundombinu Utakaoendeshwa na Pesa za Madini!

Counter Opinion: Badala ya Kuuza Akiba ya Dhahabu, Uundwe Mfuko wa Miundombinu Utakaoendeshwa na Pesa za Madini!

Il
Natambua haja ya serikali kupata fedha za haraka Kwa kuuza Akiba kubwa ya dhahabu Ili kupata pesa za kugharamia miradi mikubwa ya miundombinu inayoendelea hasa SGR.Soma hapa (1) Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu | JamiiForums Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu

Pamoja na Hilo ni vyema Ukaundwa Mfuko maalumu wa Miundombinu ambapo utakuwa unatumia fedha kutoka vyanzo vyote vya Madini.

Tukiwa na huo Mfuko then tuainishe aina ya miundombinu ambayo itapewa kipaombele.

Kwa Hali ya Sasa fedha za Madini zinaingia Mfuko wa Serikali na Hazina specific use na ndio maana uki trace kujua tumenufaikaje ni ngumu kutaja specific projects matokeo yake watu watakwambia hawajui pesa inakoenda.

Kama Serikali utaona inafaa ichukue wazo hili Ili baadya miaka 10 tutakuwa na Cha kuonesha.

Kama imewezekana kwenye tozo ya Mafuta kuwa chanzo Cha Mapato ya Tarura hata hili la Madini litawezekana.

Naomba kuwasilisha.

View: https://www.instagram.com/p/DUD_WpwjDnw/?igsh=MXJxcW1lcDlpamsycA==

ilikuwapo/ ilianzishwa Samia bond, kwa kazi mahsus ya miundombinu ya barabara je...Iko wapi?
 
Waweke kodi ya miundombinu kwenye export ya madini.

Let's say 0.5% ya value ya export.
 
Chawa ule mradi wa fisadi la kisomali wa BBT uliokua unaupigia upatu uliishia wapi?

Halafu umewasha VPN kupandisha post kwa hisani ya server ya nchi gani ya "kibeberu "?

Watu walivyoandamana kupinga mikataba mibovu ya madini ambayo haiwanufaishi wananchi bali mafisadi wachache na familia zao mkaishia kuwapiga risasi na Polepole nae mkavamia kwake na kumuua.

Hizo pesa zinazopatikana zinaongezwa kwenye fungu la kumsafisha muuaji na hazitokua na tija kwa ndugu zako hapo Mbozi.
View attachment 3536098
Hiyo dhahabu siyo inauzwa, imepelekwa kwa mabeberu! Ilikuwa ni sharti walilotoa mabeberu kwamba apeleke dhahabu au wamshughulikie.
Mabeberu si wakuwachezea wale. Uzuri na VATKANI wemepata mgao,hii safari ya juzi waliipeleka dhababu huko Uitaliano.😁😁😁
 
Sio vzr kuuza dhahabu, maana iliimarisha TZS dhidi ya foreign exchange.

Ila kihesabu, it's time ya kuziuza, maana zimepanda saana, I think tukizinunua wakati wa 4000USD per ounce of Gold ila kwa sasa bei yake ni 5500USD per ounce,

So in each ounce kuna gain ya 1500USD kwa tani 17 tulizonazo. Taifa litagain around 17*1000*35*1500=900,000,00USD.

Anaweza kuzinunua tena bei ikishuka ila faida ya almost 1B sio mbaya,

Anaweza nunua ndege hata 20, au hospitali za nilioni 200USD (kama mloganzila) zikiwa 5,

With just profit gained from selling the 17tonnes of gold.
Mkuu hizi hesabu zako ni kama vile ume assume tunaongozwa na watu/viongozi honest saana au malaika kabisa...hii serikali ya mama upigaji uko juu sana na kwakuwa usimamizi ni mdogo tegemea % 50 tu ya kitachouzwa kurudi kwa wananchi kuendesha hizo project wanazodai kuziendelezai!.
Umesahau mama aliwaambiaga mawaziri wake anashangaa mbona wanakula hadi wanavimbiwa?!.
 
Mkuu hizi hesabu zako ni kama vile ume assume tunaongozwa na watu/viongozi honest saana au malaika kabisa...hii serikali ya mama upigaji uko juu sana na kwakuwa usimamizi ni mdogo tegemea % 50 tu ya kitachouzwa kurudi kwa wananchi kuendesha hizo project wanazodai kuziendelezai!.
Umesahau mama aliwaambiaga mawaziri wake anashangaa mbona wanakula hadi wanavimbiwa?!.
You said correctly,

I always believe, matatizo ya nchi za kiafrica sio pesa, tatizo moja kubwa ni uaminifu na wizi,

Hata tatizo la ajira kwa watanzania ni kwa sababu wenye pesa wameshapigwa saana, wanaogopa kuwekeza wanahifadhi hela zao kwenye viwanja, majumba, na fixed deposit banks.

Yaani hata ukimuajiri shekhe swala tano, au mchungaji bado atakupiga Tu.
 
Back
Top Bottom