Counter Opinion: Badala ya Kuuza Akiba ya Dhahabu, Uundwe Mfuko wa Miundombinu Utakaoendeshwa na Pesa za Madini!

Counter Opinion: Badala ya Kuuza Akiba ya Dhahabu, Uundwe Mfuko wa Miundombinu Utakaoendeshwa na Pesa za Madini!

Walipotunga hiyo sheria hawakujua hayo? Ni mkataba upi umepelekwa kwenye hiyo kamati hadi sasa? Boss umekuwa chawa hadi huoni ukweli tena?
Changamoto hujulikana baada ya kuanza utekelezaji,theories Huwa nzuri ni kama nyie Chadomo mnavyodanganya wajinga kwamba mkishika Dola mambo yao yatakuwa kamseleleko.

Mwishing kama ilivyoshindikana Kwa DP World ndivyo hata kwenye miradi kama huu hapa haiwezekani kujadiliwa Bungeni ukurasa Kwa ukurasa.

View: https://www.threads.com/@theafricandreamofficial/post/DUF6EGUjPs2?xmt=AQF0RTnAXm4lEeGT5V4MQdKI4efmMVp4z6sc5zWxhueicxX7YDMQ6Qq9zWKZfK07i3gdXHtG&slof=1
 
hahaha madini yepi hayo? yani rostamu auze madini ya tanzagiza aliyopora halafu hela aingize kwenye mfuko wa tanzagiza? unaota nafikiri au umesahau kunywa dawa zako leo labda ? …
Hii ni Code ni ngumu nahisi ilitolewa na Bongozozo watu wakamcheka sana ila duuh alisemaje Bongozozo watoto wake wamefanywa nini na yeye amepora nini madini?
 
Sheria ipi inafuatwa Tanzania? Sheria ya TEITI inataka mikataba yote iwekwe wazi bungeni. Mmewahi ifuata Sheria hiyo hata kwa mkataba mmoja tu?
Hakuna wa kuweka Siri za biashara public,kamati zinatosha.

Nitajie Nchi inayofanya hayo
 
Hiyo bei ni Kwa Ajili ya watu wa Vijijini na Vitongoji vya pembezoni mwa Miji.
Kwa nini isiwe nchini kote?
Gharama za kuendesha analipia nani wewe ukilipa 27,000?
Hujui watumiaji wakiwa wengi na malipo yanaongezeka, elewa hiyo konsepti. Labda useme kuna ufuaji wa pesa ccm na sereali yake walifanya, zigo wanabebeshwa wananchi kwa uhuni huu
Mwisho kabisa Wawekezaji wangepewa umeme Kwa bei ya chini na sio watu wa kuwasha tuu taa za nyumba.
Unawajari wajomba wawekezaji zaidi kulioko wananchi. Kweli nyie ni mafisi sisiem
 
Kwa nini isiwe nchini kote?

Hujui watumiaji wakiwa wengi na malipo yanaongezeka, elewa hiyo konsepti. Labda useme una ufuaji wa pesa ccm na sereali yake walifanya, zigo wanabebeshwa wananchi kwa uhuni huu

Unawajari wajomba wawekezaji zaidi kulioko wananchi. Kweli nyie ni mafisi sisiem
Sio Kila watumiaji wengi wanakupa faida ,watumiaji wa kuwasha bila uzalishaji ni hasara.
 
hapo mafisadi macho yameshawatoka kwenda kudalalia kutafuta contractors wa izo projects yameshajiandaa kupiga pesa ,hapo ROSTAM hakosi kwenye madeal kama aya
Wakitafuta contractors wanakuaje wamedalalia? Si wanachangamkia fursa au?
 
Back
Top Bottom