Counter Opinion: Badala ya Kuuza Akiba ya Dhahabu, Uundwe Mfuko wa Miundombinu Utakaoendeshwa na Pesa za Madini!

Sheria ipi inafuatwa hapa nchini zaidi ya matakwa ya majizi? Mikataba yote ya raslimali kuna sheria inataka ikajadiliwe na bunge kwanza, hilo linafuatwa? Au uko usingizini nini boss?
Sio mikataba yote
 
Natambua haja ya serikali kupata fedha za haraka Kwa kuuza Akiba kubwa ya dhahabu Ili kupata pesa za kugharamia miradi mikubwa ya miundombinu inayoendelea hasa SGR.Soma hapa (1) Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu | JamiiForums Tanzania yapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu

Pamoja na Hilo ni vyema Ukaundwa Mfuko maalumu wa Miundombinu ambapo utakuwa unatumia fedha kutoka vyanzo vyote vya Madini.

Tukiwa na huo Mfuko then tuainishe aina ya miundombinu ambayo itapewa kipaombele.

Kwa Hali ya Sasa fedha za Madini zinaingia Mfuko wa Serikali na Hazina specific use na ndio maana uki trace kujua tumenufaikaje ni ngumu kutaja specific projects matokeo yake watu watakwambia hawajui pesa inakoenda.

Kama Serikali utaona inafaa ichukue wazo hili Ili baadya miaka 10 tutakuwa na Cha kuonesha.

Kama imewezekana kwenye tozo ya Mafuta kuwa chanzo Cha Mapato ya Tarura hata hili la Madini litawezekana.

Naomba kuwasilisha.

View: https://www.instagram.com/p/DUD_WpwjDnw/?igsh=MXJxcW1lcDlpamsycA==

Mkuu si mlisema mabeberu wanawaonea wivu...na wasiwapangie cha kufanya...tulia sindano ziwaaingie
 
Mama twafaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni ipi inatakiwa iende na kwanini sio yote? Ok tuchukulie sio yote, toka hiyo sheria imetungwa ni mkataba upi umewahi kupelekwa huko bungeni? Ama bado haijatokea hiyo raslimali ya kujadiliwa huko?
Bado,lakini pia wawekezaji wa Kimataifa hawapendi Siri za biashara ziwe public,huko kwenye kamati inatosha
 
Kwa nini mwananchi wa chini asifungiwe umeme kwa Tsh. 27,000, kiasi cha kuongeza walipa matumizi. Pia kwa nini wasipunguze gharama za umeme mijini ili kuepuka matumizi ya mkaa na gas ambayo vipo juu. kweli mnamjari Mtanganyika wa chini awe na maisha bora?
Hiyo bei ni Kwa Ajili ya watu wa Vijijini na Vitongoji vya pembezoni mwa Miji.

Gharama za kuendesha analipia nani wewe ukilipa 27,000?

Mwisho kabisa Wawekezaji wangepewa umeme Kwa bei ya chini na sio watu wa kuwasha tuu taa za nyumba.
 
Back
Top Bottom