Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.
Kuna...
Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu...
Bila shaka wote mko poa kabisa.
Kidoti wenu nimerudi maji ya shingo nashindwa hata pa kuanzia. Kama familia yangu ya JF naombeni ushauri wenu wenda nikapata hata msaada.
Kama mnakumbuka nilileta uzi huu Kuna wengine hatujui tulipokosea
Sikuweza kuandika kila kitu. wengi mlisoma historia yangu...
Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX 1650 4 GB sasa nilikuwa nauliza hii gaming pc inaweza kucheza magame ya ps5 Maana hamu yangu ni...
Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu.
Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa inanifanya nikose amani, ngozi ina upele na inawasha sana. Naombeni msaada wetu wa dawa mzuri za...
Hasira zangu zipo karibu sana napenda kuwa mtu Ambae sio wa kukasirika mara kwa mara ila inatokea tu ntakuwa mtu wa kupanic bila sababu tena hasira zikiisha najua kabisa nilikosea.
Hali hii inapelekea kuitwa mzee qa kumind.
1.tukikubaliana kuonana muda Fulani usipokuja ninakasilila ukichelewa...
Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu.
Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
Good morning wadau,
Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri.
Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner.
Hivyo, naombeni...
Habari zenu.
Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili.
Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda huu.
Nimeshuka mchana huu hapa Bandarini.
Nimekuja kwa ajili ya kupata matibabu yangu binafsi.
Kama...
Jamani life limenichapa miezi kadhaa iliyopita nilifunga biashara yangu ya picha, vifaa nikarurdisha nyumbani.
Leo nimeamua kuuza vifaa vyangu ili maisha yaendelee
Nina camera canon D 550
Studio picture background yenye vitambaa vinne na taaa
Na boon mic Panasonic
Vyote naitaji laki 9 tu...
Natanguliza Salam kwenu wadau wa jukwaa hili
Kama kichwa kinavyosema naomba kujuzwa kwa wale wanao fahamu sifa au characteristics za wanawake kutoka kisiwa cha mafia. Ndugu yenu nataka kujua mbili tatu kabla sijawekeza hisia na resources pia.
Husasan wa Media za hapa Tanzania !!.
Maana ni aibu aibu aibu aibu aibuu narudia ni AIBUUUUU .
Hivi kuna vyuo binafundisha hii taaluma? Au ni ujanjaujanja tu wa MTU, anafika Clouds , ana sauti ya kutangaza, basi anaitwa mwandishi wa habari?.
Yaan tuseme, Zembwela akae kumuhoji LISSU?? Hapa...
Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
Salaaam ndugu zangu wa JF.
Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo.
Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano...
Habarini jamvini?
Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha.
Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo...
Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.
Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
accounting
bachelor
chuo
chuo kikuu
dar
dar es salaam
degree
fursa jf
hello
kazi
kazi yoyote
kikuu
msaada
naomba
naombeni
natafuta
natafuta kazi
uhasibu
Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha.
Mshipa wa upande mmoja umevimba tofauti na wa upande wa pili. Umri wake ni mid 30s, hanywi pombe wala kuvuta sigara.
Tatizo hapa linaweza kuwa ni nini ndugu zangu? Zingatia kwamba hana maumivu yoyote yanayomsumbua...
Habari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).
Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.