Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow.
Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge!
NB
Matumizi yangu ni ya kawaida...
Bila shaka familia ya JF, wote mko salama.
Nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni miongoni mwa wale wa "pangu pakavu," lakini namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya njema.
Najua humu ndani wengi wenu ni wenye vipato vikubwa, lakini naomba msisahau kuwa hata sisi...
Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara.
Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu...
Naombeni Connection ya kazi ya Udereva IT...
Nimejaribu kufatilia changamoto ni-
Natakiwa kujulikana na Dereva wa katika kijiwe nlichoenda kuomba
Udereva wowote wa wa gari Ndogo pia naweza pamoja na Kazi nyingine
Naombeni msaada ndugu zangu
Jamani habari,
Nipo morogoro naombeni connection ya sehemu ya kujitolea. (Volunteerism au internship)
Ila pia hata kazi yoyote ya Stationary au saloon. ( Najua mambo ya graphics design na computer, ila sio expert)
Nina degree ya International Relations and Diplomacy.
Asanteni.
What'sapp...
Habari wana JF,
Nimeleta uzi huu kwenu ili nipate msaada wa mawazo.
Kuna rafiki yangu wa muda mrefu zaidi ya miaka 15 ambaye alinishirikisha kuhusu kilimo cha mpunga huko Tabora. Nilipokea wazo hilo na tukakubaliana kushirikiana. Tulikodi ekari 8 na kufanikiwa kupanda mpunga. Japo muda mwingi...
Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo wangu kwenye biashara fulani.Nimeilenga mitandao 3.Insta,FB na Whatsup.Pia kama kuna yeyote mwenye...
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...
Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue.
Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata...
Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali)
Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa
Mwenye kujua anipe mwongozo
Wakuu habari zenu
Kama Title inavyojieleza naombeni mwenye connection ya kazi ya kupush hashtag au kusukuma reli anisaidie
Hali ni ngumu sana tunapigana but nothing kwahiyo kama una connection na hiko kitu hapo juu nisaidie PM iko wazi
Elimu kidato cha 6
Now niko chuo
Nina akaunti...
Habari za jumapili
Nina tatizo nimekaa nalo mda mrefu saana..ila kwa sasa nataka niache nioe niwe na familia naombeni msada wenu.
Mimi nina umri wa miaka 33 mwaka 2003 kulikua na House girl wetu alikua amenizidi kidogo tuu umri sasa tukawa tunafanya michezo ya kikubwa alikua anakuja anavua...
Salam wanaukumbi
Nimejaribu kuperuzi playstore kupata biblia ya kiswahili yenye vile vitabu vya ziada (Tobiti, Wimbo ulio bora, Baruku, Hekima ya Suleiman, Judith, etc)
Mwenye kujua jina tafadhali
Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama.
Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
Mimi niliolewa mwaka 2017,nilikaa na mume wangu kwa upendo na amani, ila mimi nilimtangulia mwanaume nilikuwa na mtoto mmoja ambae nilizaa na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa na mume wangu yeye alikuwa hajawahi kuoa wala kuzaa, kwahiyo katika muda wote huo wakati nipo kwenye ndoa nilikuwa...
Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
Habari zenu wanaJamii..
Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002.
Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya...
Habar Wana jukwaa,
Ni kijana wa miaka 27 nipo Dar essalaam Tegeta A natafuta Kazi ndugu zangu tusaidiane kwa wenye connection jamani,
Elimu yangu ni kidato Cha 6 japo nilifika chuo ila sikuhitimu kutokana na changamoto za kiuchumi, naweza kufanya Kazi za stationary yaani printing scanning...
Nilifanya kazi kwenye kampuni moja ya kuuza vifaa vya ujenzi kwa miaka 5. Mwaka huu mwanzoni sikurenew mkataba kwasababu ya maslahi. Niliamua kupumzika.
Wiki hii katika pitapita yangu, nimekutana na kampuni mpya inayofanya shughuli zinazofanana na zile za kampuni niliyotoka Ila utofauti ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.