naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje...
  2. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
  3. Fazzah5x

    Naombeni kazi napatikana Dar

    Jamani niko Dar hapa naombeni please nisaidieni conection ya kazi please 0625544723
  4. Sean Paul

    Nataka kwenda Kiteto, nipo Gairo naombeni ABC za safari na mji ulivyo

    Wakuu habari za jioni. Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu. 1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo. 2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake. 3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho. 4. Any other...
  5. Ngengemkenilomolomo

    Naombeni msaada wa mawazo

    Wakuu Mimi ni mfanyakaz wa kampuni flan inajihusisha na maswala ya ujenzi Malipo yake sio mazuri sana lkn si haba unapata hela ya kula yn ni malipo ambayo huwez pata hela ya kufanya jambo kubwa sana sana utalipa kodi na kula Mwanzon mwa mwez wa nne nilipata dili ya mwezi mmoja tuu ambayo...
  6. Loading failed

    Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  7. R

    Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Wakuu Habari za weekend. Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake. Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake. Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
  8. ndege JOHN

    Naombeni mnielekeze kuhusu bajia za kunde

    Jinsi ya kupika nimejaribu kuangalia youtube videos kuna kitu sijaelewa hivi zile kunde zenyewe unazisaga kwenye mashine ,unazikoboa au unazisaga kwenye breander?
  9. J

    Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

    Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya. Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia...
  10. kataza

    Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  11. Hammer11

    Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

    Iko hivi mimi niko na mdada kwenye mahusiano ni mdogo tu ako na 21 saivi. Sasa kilichonileta ni kwamba huyu mdada kweli haniombi pesa na anakuja geto kwa wakati na tunafanya yetu vizuri sana. Sasa huyu mdada ana watoto wawili ambao amezaaa na jamaaa sasa huyu demu anapenda sana mimi na yeye...
  12. Nyamwi255

    Inachukua muda gani Mwanamke kufurahia mapenzi baada ya kutolewa bikira?

    Inachukua muda gani mwanamke kuenjoy tendo la ndoa baada ya kubikiriwa? Nilimsikia mwanamke mmoja akisema inachukua miaka 3- 5 Niliistaajabu!! Huyu mwanamke ni wakawaida au?
  13. Christopher Wallace

    Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

    Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55 Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk Bei halisi nijiandae na sh ngapi? Mkitaja na maduka sio mbaya
  14. MKANDAHARI

    Naombeni msaada wa mawazo

    Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi Ordinary Diploma in clinical medicine Ordinary Diploma in Pharmaceutical sciences Ordinary Diploma in medical laboratory sciences Ordinary...
  15. Mtu porii

    Naombeni ushauri kuhusu mahuiano na mwanamk aliyenizidi umri

    Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna. Ushauri wenu wanazengo
  16. S

    Hodi humu ni mgeni naombeni mnikaribishe

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF kwa muda mrefu hatimae leo nimekuwa miongoni mwa member naombeni mnipokee kwa mikono miwili
  17. thephilanthropist

    Naombeni mnisaidie kumshauri mdogo wangu Course ya Kusoma

    Kapata matokeo mazuri sana, kwa hiyo Competition sizani kama itakua ni tatizo sana, kubwa anataka kujua course mzuri ya Kusoma. Matokeo. Chemistry A, Physics A , Adv Mathematics A .
  18. Shooter Again

    Naombeni msaada wa maoni yenu

    Kwa anaejua je supu Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni sawa au itamletea madhara naombeni mnifahamisge wanajamvi.
  19. Egbert saka

    Naombeni msaada

    Nisaidieni list ya vyuo vunavyotoa kozi ya mechanical engineering
  20. AndreRieu

    Anayejua jina la huu wimbo naombeni wakuu,

    Msaada wenu unahitajika hapa
Back
Top Bottom