Nipo kibaha,mwanaume 27YRS
Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu.
Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini...
Salamu wakuu
Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu
Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa
Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila...
mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri...
Nimeambiwa sasa hivi ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana,
Je vitu gani naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao
(Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala.
Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi.
Mara nyingi mimi hurudi nyumbani usiku na wala sina mazoea na wapangaji wenzangu. Cha kushangza juzi...
Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu
Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha
Siku moja Nikapima na mimi
Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye 151/77
Nakapima Tena mara ya pili likawa lipo kwenye 133/ 80
Sasa imekuwa tabia yangu ya kupima...
Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa ananiomba.
Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema...
Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34.
Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani.
Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara...
Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo.
Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na...
Kwanza ninafuraha kujiunga nanyi hapa.
Jamiiforms ni mtandao wangu pendwa kwa muda mrefu nilitamani sana kujiunga hatimaye leo nimefanikiwa nipokee wakubwa.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Amani iendeleee wananchi .
Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani
Huu uzi uwafikie watu wote
Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
Baadhi ya sehemu kuna makisio, mfano sina data ya kujua idadi kamili ya mashirika, vyuo, n.k.
Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza
majaji wa mahakama - ???
wakuu wa mikoa - 26
makatibu tawala wa mikoa - 26
wakuu wa wilaya - 139
makatibu tawala wa wilaya - 139
Wakurugenzi watendaji wa...
Wadau wa jamiiforums habari?
Kàma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,
Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete.
Naombeni mnipe tips za kushinda hii hali inayokera. Maana kuna mda nashindwa ku-offer chochote kwa familia.
Umaskini unakera.
Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema
Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k
Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa...
Habari zenu ndugu watanzania!!!!
Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF.
Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia.
Kodi ya chumba ni bei ghani kule??
Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni??
Utafutaji wa kule ni wa aina gani'je biashara na kilimo zinalipa kwa huko??
Nina mpango wa kwenda kuishi mvumi kilosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.