Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.
Je, hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu.
6000 ni ndogo kwa mtu...
Najua wanavaa blue lakini kwenye matukio mengi hasa hata ya kutangazwa kwa mshindi wa Urais wa Kenya hapo Bomas, naona askari wengi wamevaa kimbati za jeshi. Je nayo ni sehemu ya uniform za jeshi la polisi kenya?
Nina mtu nilikuwa naishi nae bila ndoa tulikutana tu nikajitambulisha kwao nikajulikana na kwetu akajulikana ila wazazi walikuwa hawajui kwamba tunaishi pamoja na malengo yetu ilikuwa kuoana.
Sasa tukawa tunaishi mwenzangu akaniwekekea password kwenye kila kona ya simu yake nikawa napata...
Nimelikuta hili friji duka fulani na nikiangalia ni kweli nahitaji kafriji fulani hivi kadogo kwajili ya geto si mnajua tena geto la msela lazima liwe la kisasa.
Nimeona nisijepigwa na kitu kizito bora kabla sijanunua nije niulize kwanza kwa wakubwa wenye uzoefu na haya makitu hasa katika...
GENTAMYCINE leo nataka niiangalie Klabu inayojua Kusajili Wachezaji wa maana, wenye Afya, wanaojitambua, wenye Uwezo na Mafundi Watupu wa Yanga SC na siyo wa Timu zingine ambazo Wachezaji wao Afya hawana, hawajui Mpira na hata Mechi zao zote za Pre Season wamecheza na Wapishi na Wachezaji wa...
Kwanza niwasalimu ndugu zanguni wapendwa. Kiukweli naona kuna mambo kadhaa nahitaji ushauri wenu.
Mzee anastaafu mwezi ujao tu. So nimeona ni wakati muafaka nami kupanga bajeti. Kwa mzee salary aliyokuwa anapokea ni kama mil 7 kwa mwezi. Pia ana miradi yake kadhaa so maisha hayasumbui.
Je...
Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile.
Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.