Leo naomba mumsaidie rafiki yangu kumshauri, mimi ni nimeshashauri kwa upande wangu lakini nataka kuona fikra za watu zaidi.
Jamaa ana mke na watoto, hivi karibuni kaka yake alipoteza kazi ndugu wakamuomba asaidie kulea mtoto mmoja ambaye alikuwa kidato cha pili. Jamaa alimshirikisha mke wake...
Wahasibu wa jamii forums najua mko wengi hadi wengine ni ma auditor, nina kazi ya kutengeneza hio report ila nilikuwa nataka template walau inipe picha ya kitu kinatakiwa kioenekanaje
Habarini,
Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza.
Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu.
Ahsanteni.
Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?
Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi.
Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
Maada hii haihusiani na forex, kubeti, michezo ya upatu, n.k.
Dunia ya sasa imekuwa sana kiteknolojia hasa kwenye upande wa internet na kuna fursa zipo za kupiga hela za uhakika, Fursa hizi zimefanya watu wajiajiri rasmi mitandaoni, Kwenye majiji kama Arusha kuna watu wa nje ya nchi wanaishi...
Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu...
TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA 2022, EWE MZAZI/MWALIMU/MLEZI/MWANAFUNZI tunakukaribisha katika mtihani wetu wa kufungia mwaka siku ya Jumatano ya Tarehe 14.12.2022 saa 08:00PM (Usiku) katika somo la Biology kwa gharama ya shilingi 1,000/= pekee.
Lengo la mtihani huu ni kumpima mwanafunzi uelewa...
Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo.
Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu.
Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana.
sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
NAOMBENI MSAADA WAKUU.
Natanguliza shukrani.
Habari ya Weekend?
Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5.
Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA sana.
NILICHUKUA MOVIE KWA RAFIKI YANGU NIKAPANIA KWELI KWENDA KUZIANGALIA.
Kufika home kwenye PC...
Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.
Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .
Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini?
Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine...
INTRODUCTION
Ni mdogo angu (family friend).
Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born).
Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike.
Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh.
SCENARIO
Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos...
Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia.
Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
Ndugu wanasheria salaam,
Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili,
Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi...
Na je, ukiwa bado unayo ile Pasi ya zamani ukienda kuhitaji hii mpya ya Kielektroniki mchakato ni mkubwa au details zilizoko katika Pasi ya zamani ndiyo hizo hizo zitatumika kwa hii ya Kielektroniki na kuipata Kiuharaka?
Na je, muda wa kupata Pasi Mpya ya Kielektroniki ni upi? Je, huko kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.