Nazisubiri kutoka Kwenu Usiku huu ili ikiwezekana kwa Hasira za Liverpool FC yangu kutopata Matokeo kwa Westham United hadi sasa niamke nazo na nimnyooshe vizuri ili akae sawa.
Habari za Mwezi February wana-JF.!!
Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi).
Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU.
Nitashukuru nikipata Msaada .
✅Nina elimu ya...
Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic.
Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi.
Itakua vyema sana kama Ushauri...
Wakuu kwema,
Najua kuna watu wako kwenye hii industry ya hardwares hasa mabati. Nahitaji kujua bei yake ya madukani. Mfano mabati ya msauzi yale bei zake kwa gauges tofauti na size tofauti mnifahamishe tafadhali.
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC.
Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC.
Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa...
Ni matumaimi yangu wote wazima.
Naombeni kujuzwa kwa kawaida inachukua muda gani kutoka siku ulipeleka barua ya posa ukweni mpaka siku ambayo utatakiwa kurudi kutoa mahari? Kama hakuna muda rasmi basi ile kibishi bishi unaweza ukawapiga kalenda wakwe kwa muda gani?
Huyu binti siku moja...
Za mida wakuu nina ishu inanitatizaa hapa et ikitokea umejichoma n kitu chenye kutu ukiacha tetenasi kuna uwezekano ugonjwa wa UKIMWI pia ukaambukizwa kwa njia io?
Swali ni kwamba can rusted metal spread HIV?
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio...
Habarini wakuu..Mimi nacheza basketball japo sio katika level kubwa kiivo ila nachezea hadi timu inayoshiriki ligi ya mkoa ya Mpira wa kikapu ya Arusha..
Kwa wapenzi wa kikapu hasa Kule Marekani (NBA) waga kuna mashindano yanaitwa NBA All-Stars ambayo hujumuisha East(Team Durant) na West(Team...
Habar wakuu
Mdogo wenu nshavurugwa huku nina 8086 Trainer kit sijui kuitumia kuandika assembly language program naweza kuzipata online shida ni kuziandika nifanyeje
Shukran
Naomben msaada, mimi sijawahi kufanya biashara yoyote ile. Nimemaliza kidato cha nne 2019 na nilikuwa nasoma chuo lakina nimesitisha kwa sababu mbalimbali.
Naombeni msaada wenu, nina mtaji wa laki 5 ndugu zangu nifanye biashara gani?
Habari zenu wanajukwaa,
Ninaombeni nisaidiwe namna ya kurudishiwa hela na Airtel kiasi cha shilingi milioni moja ya kitanzania.
Ishu iko hivi nililipa katika akaunti yao ili nijengewe zile shop zao.
Sasa team leader aliyekuwepo hakunipa mktaba wa kujaza mpaka nikaondoka eneo nilikokuwepo maana...
Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada.
Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere.
Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu...
Ningependa kujuzwa kwa mwenye taarifa za member mwenzetu mama sabrina atujuze anaendeleaje maana kuna mtu nilimsikia akisema alikuwa akiumwa sana na jino na hali yake ilikuwa mbaya sana mpaka kulazwa ila ghafla naona kimya kimetanda! Kwa mwenye taarifa zake naombeni mtujuze anaendeleaje?
Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa
Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika vizuri na watu kuna jamaa kanisaidia kunipa msaada wa molds za kutengeneza maua na mikanda ya gypsum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.