SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA
Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net
NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
Habari ,Kijana mwenzenu nipo katika kupambana na life katika sekta ya ufundi taa za magari .Bado sija iva sana,na ndio kisa cha kuomba msaada wa ujuzi .Nina katakana ya kusafisha taa za magari,sasa nimekutana na changamoto ya ile chrome ndani ya taa imekufa kabisa kiasi cha kufanya taa isiwe na...
Habari zenu watanzania wenzangu.
Kwa jina naitwa mangi shangali,Leo hii nimejiunga na jamii forum,mtandao wa kijamii mkubwa kuliko yote Tanzania,naombeni mnipokee.
Pia naombeni mnipe muungozo ulio sahihi ili kuepusha ugomvi na watu humu.
Natanguliza shukrani kwa uongozi wote wa jamii forum...
Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea.
Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine.
Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa utaratibu wa kupata kwenye yale maduka au kama kuna mtu anakazi naomba ntaifanya kwamoyo wangu wote.
Nipo...
Habari za Mwezi February wana-JF.!!
Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi).
Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU.
Nitashukuru nikipata Msaada .
✅Nina elimu ya...
Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A.
Umri wangu ni miaka 24
Naombeni ushauri kama nikienda chuo nikasomee nini chenye fursa?
Na Kama nikienda...
Kuna mfanyakazi mwenzangu ambaye Mimi namzidi cheo Ila kapewa Kazi Fulani ya kutupangia utaratibu WA Kazi WA kila wiki.
Sasa huyu mtu Ni wale watu wanaitwa kupe, Ni dizaini ya watu wenye tabia ya kupenda kujiweka mbelembele, Kwa kila kitu anataka yeye aonekane ndio anaweza,ikitokea shughuli...
Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
Hello jamaa zangu,
Tumaini langu mnaendelea vizuri.
Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana.
Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
Wadau habari.Kuna ngoma YA zamani sana aliimba Bugz Malone na D Rob.Bugz alikuwa anachana kingereza D Rob alipita na chorus YA kiswahili.Ngoma hii naitafuta sana,mwenye nayo afanye kushare
Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy zangu.
Tizita
Kwa sasa makazi yangu ni Iringa mjini hapa Kihesa. Shughuli niliyokua nafanya kwa kiasi kikubwa inategemea jua kuwaka mchana na sasa ni kipindi cha mvua ivyo kazi haifanyiki
Kwa wajanja janja wa huu mkoa nina akiba ya 500K naweza kufanya mishe gani kwa kipindi cha mvua ila tu isiwe kilimo
Habari ndg wanajamii!
Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa...
Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu .
Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza.
Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
Kwa muajiriwa ambaye hajatimiza Miaka mitatu kazini.
Je, inawezekana akapewa ruhusa akarudi kujiendeleza masomoni ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe?
Ndugu wanajamvi habari zenu,
Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale
Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!!
Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
Habari zenu.
Iko hivi Kuna muda naweza nikawa naifanya kazi fulani ingawa nalipwa vizuri Ila Sina furaha kabisa pamoja kuwa nalipwa hela nzuri kulingana na mishahara ya hapa tz.
Sasa bwana Kuna kazi nikiwa nalipwa kidogo ama hata nisipolipwa nakuwa naenjoi kinyama mno yaani mno kuifanya.yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.