naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dasizo

    Mliopo kwenye ndoa naombeni uzoefu wenu

    Hivi kwa mwanamke anayefanya kazi baa au mdangaji anaweza kuwa wife material na akatulia kabisa kwa nyumba?
  2. Dasizo

    Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

    Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
  3. M

    Ushauri: Kila binti ninaemtongoza anakataa, anasema ananiona kama kaka, mtu hatari!

    Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakata, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi? Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form six), mmoja wa mwalimu alinambia mimi kumpata mpenzi nikifika chuo itakuwa ni kazi, nilipimuuliza...
  4. brave Mwafrika

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
  5. M

    Naombeni ushauri wakuu

    Mimi sio mgeni hapa JF, Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha na kuniambia kuwa hajawahi kunipenda na ananichukulia kama kaka au rafiki yake. Wengi wenu apa Jf...
  6. M

    Naombeni ushauri

    Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake. Ni fanye nini mm. ( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
  7. M

    Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

    Mimi kijana umri miaka 22, Nipo chuo mwaka wa pili, nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi biology na geography. Naomba ushauri kwa umri huu, na Hali ya ajira ya taifa letu ni fanye mambo yapi na nizingatie nini ili niweze kufika hatima bora ya maisha yangu na familia Yangu kwa ujumla...
  8. M

    Naombeni ushauri wakuu

    Naomba kuuliza kwenu wakuu, upi ni ushauri wenu kwa Mimi/ sisi vijana ambao tupo vyuo vikuu, juu ya kuwekeza kupitia pesa ya boom. Mfano mm apa had sasa nipo semester naingia semester ya nne nime save almost laki tano, Na natarajia mwaka wa tatu ni save million moja na nusu, Sasa wakuu nipo...
  9. M

    Ndugu zangu naombeni ushauri

    Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu. Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya...
  10. H

    Ushauri wenu kwa huyu anayedate na mke wa mtu kiasi mpaka anasahau kusaidia familia yake

    Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
  11. Masaki road

    Nina Upper Second GPA, nisome Masters gani?

    Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
  12. M

    Naombeni ushauri

    Hope Wana Jf wote ni wazima, Niende kwenye mada moja kwa moja Hii ni siku ya Kumi na mbili tangu niache punyeto ila nipo kwenye mateso makuu mno naombeni ushauri; 01. Kwanza nahis kuumwa sana, nimeenda hospital nimepima Sina ugojwa 02. Mapaja yanauma vibaya sana 03. Nyege zinanimaliza apa...
  13. God over everything

    Naombeni msaada

    Jamani nimeshikika, Nadaiwa Kodi ya miezi mi3 na nimepewa Notice ya kuondoka tarehe 15 Tafadhali nisaidieni mchongo wa Kibarua chenye malipo kwa siku. Nipo tayari kufanya kazi yoyote Ile. Mungu awatangulie 🙏 Location: NIpo DSM
  14. Wakili wa shetani

    Nataka kuanzisha Podcast, naombeni ushauri

    Habari, nina mpango wa kuanzisha podcast. Naomba ushauri wowote utakaonisaidia kufikia amza yangu hii. Najua nahitaji vitu vya kurekodia, ni vitu gani basic natakiwa kuwa navyo na gharama zake zipo namna gani? Wapi naweza kupublish na kupata wasikilizaji wengi wa Tanzania? Platform hizo...
  15. Da'Vinci

    Wataalam wa IT naombeni msaada

    Habari... Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi nyeupe kwenye kioo kizima (White Screen of Death) Ikiwa hivyo huwezi kuona lololote wala kufanya...
  16. Mshana Jr

    Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

    min -me nimetimiza ahadi mada hii hapa..! Kila kitu huwa na mwanzo huwa na chanzo, vijana walianza kulalamika siku nyingi wakitafuta ushauri huku na kule.. Wengi walikatishwa tamaa na aina ya ushauri waliopewa na wakubwa.. Haukuwa na weledi Masaibu yao hasa yalikuwa kwenye vipengele hivi...
  17. The next JPM

    Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    Habar wakuu, Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali, tumekaa kwenye mahusiano kwa miezi sita tu lakini kwangu ilikuwa ni uchungu kwani nilitumia nguvu...
  18. S

    Nataka kwenda kwenye kaburi kule Chato tarehe 17 March. Naombeni utaratibu

    Nataka kwenda kulishughulikia lile kaburi. Nitalishughulikiaje? Naomba ibakie siri yangu tu. Lakini mpende msipende tarehe 17 nitakuwa huko kulishughulikia Ili iwe funzo kwa viongozi mliopo madarakani kuwatendea mema wananchi kama afanyavyo mama. Mama wa watu kaombwa 1. Katiba ... Kakubali 2...
  19. God over everything

    Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  20. Surveyor_1

    Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

    Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara. Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka...
Back
Top Bottom