naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Naombeni ushauri kwa PS4: Niwe nacheza games original au nifanye kuichipu?

    Nina ps4 , Version yake ni 9.00, Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa. Sasa Je, kibongo bongo A. Nicheze game original ? B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye vibanda vya ps ?
  2. brave Mwafrika

    Nimechaguliwa PCM Bwiru Boys; Je, ni shule nzuri?

    Mimi naishi Mwanza, na ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level (Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM. Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri...
  3. brave Mwafrika

    NAOMBENI MSAADA NDUGU ZANGU KWA WENYE UZOEFU NA UELEWA JUU YA HILI.

    #mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM. Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule hiyo na uwezo wake katika ufundishaji hili mdogo wenu niweze kupata elimu nzuri itakayo nisaidia hapo...
  4. K

    Naombeni ushauri nahisi kuchanganyikiwa

    Wakuu za mida? nadhani mko poa! Mimi ni kijana wamiaka24 nilifeli kidato cha nne mkoani huko nikawa nafanya shughuli za kilimo na washkaji zangu huko mkoani. Nilikuwa napata hela za kujikimu na chakula fresh tuu na pia kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilikuwa nina mpango wa kulima mazao mengi...
  5. Teslarati

    Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

    Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala. Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary. Wataalam...
  6. the lucky mlokole

    Nahitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote

    Habari za humu ndani wakubwa poleni na majukumu ya hapan na pale Nimekuja kwenu kuhitaji msaada wa kazi yoyote au kibarua chochote maana Nina hali mbaya kiuchumi na Nina tegemewa na familia. Kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia hata KAZI ya uhouse boy nipo tayar kufanya ili nipite salama haya...
  7. R

    Naombeni code nikipigiwa Simu nisipatikane

    Habari za wakati huu, Thread zangu napenda kuziweka huku sababu pako active kuliko majukwaa mengine. Naombeni msaada wa code, nahitaji mtu fulani akinipigia nisipatikane, simdai hanidai ila sihitaji tu kuwasliana nae. Mwenye anajua namna ya kufanya naomba unielekeze. Natanguliza shukrani.
  8. Merekzedk

    Historia ya Edward Moringe Sokoine

    Naombeni kujua historia ya waziri mkuu wa zaman Edwad sokoine
  9. L

    Naombeni ushauri kuhusu Kijana huyu

    T
  10. A

    Naombeni ushauri

    Habari kwenu Wana bodi, Mimi ni Kijana wa kitanzania pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi moja ya Chuo Kikuu hapa Tanzania. Na malengo ya kuanzisha shirikisho la walimu wa masomo ya sayansi. Lengo langu ni nataka chombo hiki kitetee maslahi ya walimu hasa wa sayansi...
  11. U

    Mliowahi kukutana na tatizo hili kuhusu kampuni ya Zola naombeni ushauri

    Kampuni ya nishati ya jua ya Zola walinifungia mtambo wao, lakini ajabu tofauti na makubaliano mtambo huu uligoma kuniwashia TV, na pia umeshindwa hadi kunichajia simu! Nimejaribu kuwasiliana na Zola wamekuwa wananiahidi uongo. Mara tutashughulikia lakini hadi leo miezi zaidi ya kumi imepita...
  12. Myebusi Mweusi

    Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

    Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala. Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu. Sasa...
  13. Leejay49

    Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

    Signed Out
  14. M

    Naombeni taarifa zaidi kuhusu Kazi ya labour officer (Afisa Kazi)

    Habari zenu wana jamvi... Nimeulizwa hapa na machalii mtaani nimekosa jibu, nimejaribu kutafuta katika google ya ubongo wangu mtu wakimuuliza nimekosa nikakumbuka kuwa kuna jamvi lipo linawajuvi wa mambo.. bila shaka nitapata taarifa sahihi.. Hivyo BASI, Naombeni taarifa zaidi juu ya Kazi ya...
  15. J

    Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  16. Crala kidoti

    Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    Habari wanaJamiiForums. Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana...
  17. F

    Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana. Naombeni connection

    Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana. Kwa mwenye connection na Mtu au Kampuni yoyote inayojishughukisha na ununuzi wa mazao tajwa; Nipo tayari kufanya nao kazi kwa Nidhamu, Uaminifu na Ufanisi wa juu sana. ( Msimu wa mazao hayo ni kuanzia mwezi huu wa Mei...
  18. I

    Naombeni Mchongo

    Habari za Asubuhi watu wa MUNGU Naomba kwa aliye kwenye Mchongo wa kazi ambao ni rahisi kuingiza Kibarua mwengine, Tafadhali naomba anivute huko. Niko kwenye kipindi kigumu ever. NB: KAZI yoyote halali Niko tayari kuifanya. Makazi yangu ni DSM
  19. 6 Pack

    Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

    Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana. This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo. Mimi...
  20. Mtu Alie Nyikani

    Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

    Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima. Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa...
Back
Top Bottom